Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako.

Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye anatengeneza feelings za kimapenzi.

Better to be hard and kauzu. Now i learn the hard way what makaveli said " it is better to be feared that to be loved"
 
Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako,
Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yani unamsaidia jambo kwa wema then yeye anatengeneza feelings za kimapenzi,

Better to be hard and kauzu.
Now i learn the hard way what makaveli said " it is better to be feared that to be loved"
Tumepewa bure, tuvitoe bure tu. Maisha yenyewe mafupi tu haya........usijibane sana!

So ukitunukiwa wewe pokea na kula tu, midhali una uhakika kipo salama.
 
Umeanza kujitambua Hongera .

Wenzio bado wanategwa na kunaswa kirahisi na kuibiwa fedha zao.

Wengine wametegeshwa mimba na kutia doa familia na wengine ndoa zao kuvunjika na kubaki historia .
 
I can only offer you a papuch if you do me a favour and not othérwise
Unasema kirahisi rahisi mpaka nika konkludi huenda wewe ni dume.

Yaani kila favour unayopewa ugawe papuchi?

kirahisi tu yaani?
 
Back
Top Bottom