Usimkatie tamaa mtu..! Zikiisha akili humrudi.. Hiari yashinda utumwa!

Chizi karogwa tena!
 
tuombee tu Mungu western powers waingilie watusadie kumuondoa (whatever the cost), hiyo ndiyo salama yetu, damage ambayo ameifanya na anaendelea kuifanya kwenye nchi yeu ni kubwa sana na itachukua muda mrefu kuirekebisha if we are lucky, wamebomoa elimu yetu, taasisi zote wameua, hivyo salama yetu ni western powers kuingilia kutuokoa.

ni rahisi kubomoa klk kujenga, sasa hivi wana undo system yote iliyokuwepo na iliyopfanya kazi kwa miaka zaidi ya 100 na kuweka islamic ambayo ushahidi uko wazi hakuna nchi ya islamic sharia inayaifanya vizuri duniani, irani ndiyo hiyo wairani wote walioweza wameikimbilia islamic republic na ni pamoja na familia za mullahs wanaishi western countries, pakistan na afghanstan hakuna mtu anayependa kwenda kuishi huko na kila anayeweza anakimbia hizo nchi, sasa wanaleta uncivilized barbaria somalis kwenye nchi yetu mpaka bungeni ...
 
Usimkatie mtu tamaa.



"Mapenzi bila pesa siyawezi ni ujinga ,nikadondokea umachinga ,kama utani nikaanza kuimba ila kuna wengine walinipinga ,Mungu si Athumani akanikutanisha na Simba".
 
Huyu angekuwa mkuu WA mkoa asingekuwa hivi alivyo
Haya maneno yake ni kukosa uteuzi Hadi leo
 
Nachofurahia wakosoaji wengi wa Msigwa ni empty brain. 90% ya wakosoaji wa Msigwa hawana uwezo wa ku analyse kwa ukubwa na kitaalamu kama anavyofanya Peter Msigwa. Weng wao wanachoweza ni ku copy na ku paste ujinga wa wakina Hilda
 
Mkuu Kalamu nawajibika na kichwa cha habari. Hicho ni uhandisi wangu. Maudhui ni Mchungaji Peter Msigwa.. Nakushauri uyasome kuna picha utapata
Kwenye hayo maudhui sijaongeza wala kupunguza hats nukta!
Unanipa adhabu kidiplomasia sana kwa ushauri wako huo.
Kwa heshima, ngoja niikubali hiyo adhabu. Nakwenda kusoma ujumbe toka kwa mtu ambaye namdharau sana kwa ukigeugeu wakwe wa mara kwa mara..

Sina hakika kama nitaleta mrejesho tofauti na ule nilioutoa hapo juu, kabla ya kusoma takataka hiyo..
Usipoona jibu jingine, chukulia kuwa lililopo toka mwanzo linajitosheleza.
 
Amshajikatia tamaa ya kuteuliwa
Tunaona tofauti kubwa hata katika swala hili kati ya Samia na Magufuli. Samia ni kitu tofauti kabisa na Magufuli kwa kila jambo. Sasa sijui aliwezawezaje kujificha hadi kuondoka kwa Magufuli!
 
Kwakweli kajishushia heshima mno na haitakaa irudi tena! Nimeamua kusoma andishi lake na kulipandisha hapa ili wengine waone na kuthibitisha yale ambayo tuliyaandika kabla

Je, Msigwa ndani ya CCM ni assert ama ni liability? | JamiiForums Tanzania Je, Msigwa ndani ya CCM ni assert ama ni liability?
 
Mbovu mno

Ila kama kwa hila katafaulu kujua nini watu na husda zao
 
Hahahaha๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hiyo picha, mkuu, Mshana'; umeiangalia vizuri?
Inakata hadi kwenye maini kabisa!

Huu umalaya wa kisiasa ni muhimu ukomeshwe; vinginevyo tutaendelea kuwa taifa la kipuuzi.
 
Naomba nitoe shukrani kwako kwa kuweka hiyo taarifa hapa JF.
Sijaisoma, na sina nia tena ya kuisoma.
 
Naomba nitoe shukrani kwako kwa kuweka hiyo taarifa hapa JF.
Sijaisoma, na sina nia tena ya kuisoma.
Natambua hivyo brother ni lama mimi ninapoona hotuba za watu fulani
Your browser is not able to display this video.
 
Nachofurahia wakosoaji wengi wa Msigwa ni empty brain. 90% ya wakosoaji wa Msigwa hawana uwezo wa ku analyse kwa ukubwa na kitaalamu kama anavyofanya Peter Msigwa. Weng wao wanachoweza ni ku copy na ku paste ujinga wa wakina Hilda
Tatizo ni kwamba "unafurahia" mwenyewe kuwa hata chini ya hao "emppy brain".
Isn't that amazing!
 
Naomba nitoe shukrani kwako kwa kuweka hiyo taarifa hapa JF.
Sijaisoma, na sina nia tena ya kuisoma.
Halafu anakuja mtu hapa ameshiba maharage mazuri ya Ilembula anawabeza Gen Z. Hivi kweli kwa akili kama ya akina Msigwa, sinafadhali nchi wapewe Gen Z na wao wajaribishe, baba na babu zao waliposhindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ