Usimkatie tamaa mtu..! Zikiisha akili humrudi.. Hiari yashinda utumwa!

Usimkatie tamaa mtu..! Zikiisha akili humrudi.. Hiari yashinda utumwa!

Ni wanasiasa aina ya akina Msigwa, et al wanaofanya generation yetu na waliotutangulia, wote tuonekane vizazi vya hovyo. Kiukweli Gen Z wana haki ya kutusema. Kizazi cha 1960-1980 tumekuwa exceptionally useless kwa taifa letu. Matatizo mengi yanayowatesa Gen Z tungekuwa na utashi na maono tungeyatatua vizuri tuu. Elimu, afya, miundombinu nk. Hawa madogo sasa hivi wangekuwa wanapambana kutumia ICT kulikomboa taifa. But imagine, na wao wanapambania mashimo ya vyoo na ujenzi wa madarasa…..duh
Elimu tunarudi kinyumenyume kabisa; kujitambua kuwa sisi ni taifa huru kabisa tunaanza kuulizana kama kweli tupo huru; wakati akina Samia wanafanya juhudi zote za kuturudisha kwenye utwana.

Sasa hivi tumekuwa taifa lisilojiamini kwa lolote; hatuamini kuwa tunaweza kuamua kufanya jambo kubwa na tukalitekeleza kwa ufanisi kwa nguvu zetu, na tunapohitaji msaada tunafanya hivyo bila ya kujidhalilisha.

Hizi fikra za utegemezi zimetuingia kiasi kwamba tumebweteka kabisa katika kila nyanja.

Huu ni ugonjwa mbaya sana unaoweza kulikabili taifa; na tutahitaji uongozi wa kipekee sana kutuondoa kwenye fikra za utegemezi hizi.
 
Siku hizi kila mtu nwenye ndoto ya kuwa kwenye siasa anawaza namna ya kuwa chawa na yeye apate mfereji wa kupiga. It starts from the top.
 
IMG-20260524-WA0001.jpg
 
Mke akiamua mwenyewe kuikimbia familia,

Hata akirudishwa na wakwe zake kwako, iwe kwa kubembelezwa ama kushawishiwa,

Things will never turn back being the same again in the house!

Huyu hatakuwa huru tena ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA....Nafsi ya usaliti na karma yake haviondoki kirahisi.

ATAKUFA HUYU, TENA MAPEMA SANA!, SI KWA UGONJWA!, BALI KWA SONONA(depression, msongo wa mawazo) muda utaongea!
 
Alizingua vibaya sana
 
Back
Top Bottom