Ona empty set nyingine imekuja kuharisha hapa.Tatizo ni kwamba "unafurahia" mwenyewe kuwa hata chini ya hao "emppy brain".
Isn't that amazing!
"Zikiisha akili humrudi"
Na bado hujitambui kuwa ni chizi mvuta bange!Ona empty set nyingine imekuja kuharisha hapa.
Unadhihirisha wewe ni low battery aka empty brain au zeroooo brain.Na bado hujitambui kuwa ni chizi mvuta bange!
Sasa nakwambia hivyo, jitambue kuwa wewe ni chizi.
tuombee tu Mungu western powers waingilie watusadie kumuondoa (whatever the cost), hiyo ndiyo salama yetu, damage ambayo ameifanya na anaendelea kuifanya kwenye nchi yeu ni kubwa sana na itachukua muda mrefu kuirekebisha if we are lucky, wamebomoa elimu yetu, taasisi zote wameua, hivyo salama yetu ni western powers kuingilia kutuokoa.
Jitambue, wewe ni chizi, tatizo linalokusumbua kwa kuvuta bange inayokuzidi kimo.Unadhihirisha wewe ni low battery aka empty brain au zeroooo brain.
Mtu ukishamu identify kama chizi, unawezaje kumwambia ajitambue. Chizi anaweza kujitambua?
Ama kweli wewe una low voltage.
Maneno yako yote naafikiana nayo isipokuwa hilo la "westernpower".
Ninachoweza kukubaliana na wewe ni kuwa hao 'power' unaowategemea; ni kama wapo tayari kutupa msaada wa kuifanya kazi hii yetu sisi wenyewe; hapo sitakuwa na tatizo lolote na hilo la 'western' power.
Maana yake hapa ni kwamba, hao hao "western power" unaotaka waje kutufanyia kazi, wakikamilisha kazi hiyo utaendelea kutegemea tena wao wakufanyie hayo mengine tunayokubaliana kuwa huyu Samia Mhalifu ameisababishia Tanzania. Hilo haliwezekani.
Ndiyo, tutakubali msaada wao pale tunapouhitaji, lakini juhudi za kuijenga nchi yetu ni sisi wenyewe.
Hao "western power" utawalipa nini ili waweze kukuletea maendeleo Tanzania; hayo yatakuwa ni maendeleo kweli ya wananchi au tutakuwa tumejikabidhi kwao watutawale tena?
Tunao uwezo kabisa wa kumwondoa Samia Mhalifu kwenye madaraka sisi wenyewe; mradi tu pawepo na njia ya kudhibiti mitutu anayoitumia kutuua.
Waombe tu hao western power, walete tu kimerikebu kimoja na kuziba lile lango la kuingilia bandarini kwa wiki moja; halafu sisi tumalize kazi ya kuondoa uchafu huu..
Hapa hata siku moja hatuwezi kufikia suluhu; hapana siyo huyo mhalifu.western powers hawajawahi kuwa na shida na siku zote wako fair, waafrika wamedanganyawa sana na communist na muslims na hivyo kuwaona western powers ni adui wakati siyo kweli, zipo nyingi zilizonufaika kwa kuwaona na
Hapa hata siku moja hatuwezi kufikia suluhu; hapana siyo huyo mhalifu.
Unachokosa kufahamu katika maoni yangu ni kuwa, we own our own destiny'. Hatuwezi kuwategemea hao wengine wote unaowazungumzia hapa; hili linakufanya jina lako liwe na maana mbaya sana kwa nchi yetu..
Nimesoma hiyo mistari miwili tu nikaona sina shida ya kuendelea huko chini. Sidhanmi kuwa kutakuwa na ufafanuzi unaoweza kufuta fikra mbovu kabisa zilizowasilishwa katika hiyo mistari miwili niliyonyanyua hapo juu.
Naomba uniwie radhi.kuwachukuckulia western powers kama partners mf. south korea, taiwan, singapore, hata sasa vietnam nao wanakuja juu kwa kushirikiana na western powers, vietnam leo hii ni superpower wa kutengenza viatu duniani nike shoes sehemu kubwa zinatoka vietanm hii ni USA investment.
Sasa kwa nini uwategemee waje wakukomboe?ili uendelee unahitaji partners, na hakuna partner wa maana dunia hii kama west, lkn ni lazima kwanza ujue unachokitaka ili uweze kunufaika, hawawezi kukulisha hakuna mwenye huo muda wa kukulisha ...
Naomba uniwie radhi.
Mistari yako ya mwanzo niliyoijibu hapo juu imenivuruga akili, nikaona nikujibu hapo hapo. Baada ya kujibu, bado nikawa na dukuduku la kujuwa ni nini ulichoweka huko chini; kumbe ni mifano ya nchi ambazo unakosea kabisa kuwataja kama mifano hapa.
Nchi hizo zote hazikuwategemea hao unaowaita 'western powers'; labda kama hujui details zao kuhusu maendeleo waliyoyapata.
hakuna hata nchi moja iliyotegemea msaada wa westernpoers kupata maendeleo; hili naona ndilo linalokuchanganya wewe.
Vietnam ni nchi ya kikomunist hadi leo; hayo maswala ya uwekezaji wa Nike, siyo maswala ya misaada hayo, hizo ni biashara. China ni wakomunist; sasa hivi nchi zote za Ulaya wanaitambua kuwa inawazidi kila kitu.
Wewe hata hujui hofu kubwa aliyo nayo Bwana mkubwa atakayekwenda kumwona Xi hivi karibuni?
Hujui kiwewe anachowatia mchina sasa hivi katika nyanja zote za kibiashara na hata kiteknolojia; hujui?
haya maswala ya western power/ukomunist au kwingineko wakati wake ulishapita zamani sana, lakini naona bado umeganda nayo?
Lakini jambo pekee la muhimu hapa, ni hili la maendeleo yetu Tanzania. Hakuna mbadala wa kuleta maendeleo hayo ila sisi wenyewe, bila kujali tumeshirikiana na mlengo gani wa kiuchumi.
Marekani hawawezi kutuletea maendeleo, kama wasivyoweza kufanya hivyo wachina au warusi. Hili ndilo ninalotaka kukusisitizia likae akilini mwako.
WaTanzania wapo tayari sana kuifanya kazi ya kujiletea maendeleo yao, tunachokosa tu ni uongozi mzuri wa kuongoza juhudi zetu hizo.
Yote hayo yanaanzia pia kwenye kujikomboa kwetu toka kwa hawa watu waovu kabisa kuwahi kutokea ndani ya taifa hili.
Huyu mdau nahisi ana ajenda zake...anashindwa kuchanganua na kupata mawazo Bora Kwa kupenda sana kuegemea upande fulani hata kama sometimes siyo sahihi, ni hatari Sana fikra za namna hii.Sasa kwa nini uwategemee waje wakukomboe?
😂😂😂😂Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu. Kila kitu kudakia na kujifariji tu . Ma CHADEMA huwa hamjitambui kabisa na huwa hamjui mnataka nini. Umbeya , upashikuna na ushakunoko ndio vinawasumbua. Mnashindwa kufanya kazi badala yake mnakalia kupiga Majungu kutwa nzima.
Wewe endelea na kazi yako ya matunguli na uganga wa kupiga malamli.
Ni wanasiasa aina ya akina Msigwa, et al wanaofanya generation yetu na waliotutangulia, wote tuonekane vizazi vya hovyo. Kiukweli Gen Z wana haki ya kutusema. Kizazi cha 1960-1980 tumekuwa exceptionally useless kwa taifa letu. Matatizo mengi yanayowatesa Gen Z tungekuwa na utashi na maono tungeyatatua vizuri tuu. Elimu, afya, miundombinu nk. Hawa madogo sasa hivi wangekuwa wanapambana kutumia ICT kulikomboa taifa. But imagine, na wao wanapambania mashimo ya vyoo na ujenzi wa madarasa…..duhNa bado hujitambui kuwa ni chizi mvuta bange!
Sasa nakwambia hivyo, jitambue kuwa wewe ni chizi.
Aisee,Somo Kubwa La Historia
Karibu mifumo yote iliyodhoofika ilikuwa na dalili hizi:
Na hiyo ndiyo hatua hatari sana kwa taifa lolote.
- watu wanaoogopa watu kuliko sheria,
- ukaribu na mamlaka kuwa muhimu kuliko uwezo,
- taasisi kuwa dhaifu mbele ya personalities,
- wananchi kupoteza imani kuwa sheria ni sawa kwa wote.