Usimpatie mtu kazi kwa kumuonea huruma

Usimpatie mtu kazi kwa kumuonea huruma

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako.

Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote yana mahusiano gani na ufanisi wa kazi?

Akiajiriwa anaanza kuleta blah blah; dunia ya sasa sio ya kuoneana huruma, huna uthubutu wa kufanya kazi kwa ufanisi, acha dunia ikufundishe.

Huku sekta binafsi, kitakachokuweka kazini ni ufanisi wako katika uzalishaji pamoja na kusaidia kampuni kuingiza faida; hayo mambo sijui nategemewa huku hakuna.

Vijana pigeni kazi

laugh.png
 
Nb: '2D animator' anahitajika​
Natamani huu ushaur ningepata kabla ya mwaka huu kuanza
But all in all Mungu ni mwema mapambano yanaendelea
 
Huu ni ukweli mchungu, nmepiga chini raia wengi sababu ya swaga ya kutaka huruma za kijinga na uzembe mdogo mdogo.

Fikiria dogo anatafutiwa kazi na dada yake then dada mtu ndio analeta vyeti na CV ya dogo. Unauliza yupo wapi mhusika unajibiwa yupo home tu.

Wengine wanatuma vyeti na CV whatsApp. Serious kabisa unaomba kazi nyaraka muhimu unatuma whatsApp?, omba email official ukiagizwa utume whatsApp ndio uzitume huko sasa sio ujiamulie tu kutuma.

Kuna code ndogo ndogo sana vijana wengi hawazijui sababu ya kuchukulia mambo simple simple, ni kweli technology imekuwa na kurahisisha mambo ila kamwe usichukulie mambo ya kazi/biashara simple simple.
 
Jamaa nafanya naye kazi kaondoka kaniambia anarudi muda si mrefu kapotea mazima baada ya week karudi anasema anaomba aendelee na kazi nikamuambia kwavile uliondoka kihuni kazi hakuna saiv yupo tu mtaani anazulula!
 
Huu ni ukweli mchungu, nmepiga chini raia wengi sababu ya swaga ya kutaka huruma za kijinga na uzembe mdogo mdogo.

Fikiria dogo anatafutiwa kazi na dada yake then dada mtu ndio analeta vyeti na CV ya dogo. Unauliza yupo wapi mhusika unajibiwa yupo home tu.

Wengine wanatuma vyeti na CV whatsApp. Serious kabisa unaomba kazi nyaraka muhimu unatuma whatsApp?, omba email official ukiagizwa utume whatsApp ndio uzitume huko sasa sio ujiamulie tu kutuma.

Kuna code ndogo ndogo sana vijana wengi hawazijui sababu ya kuchukulia mambo simple simple, ni kweli technology imekuwa na kurahisisha mambo ila kamwe usichukulie mambo ya kazi/biashara simple simple.
Mkuu TZ ni changamoto tupu kuanzia mtaji, mfumo wa serikali, wafanyakazi n.k. Sasa hapo kutoboa inabidi uwe na udiktator kidogo ili mambo yaende. Ndugu kwenye biashara sometime itakuangusha au utachelewa sana kutoboa.
 
Kabisa Mkuu
 
Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako.

Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote yana mahusiano gani na ufanisi wa kazi?

Akiajiriwa anaanza kuleta blah blah; dunia ya sasa sio ya kuoneana huruma, huna uthubutu wa kufanya kazi kwa ufanisi, acha dunia ikufundishe.

Huku sekta binafsi, kitakachokuweka kazini ni ufanisi wako katika uzalishaji pamoja na kusaidia kampuni kuingiza faida; hayo mambo sijui nategemewa huku hakuna.

Vijana pigeni kazi

Kuna jamaa nataka nimtimue sema tumepata kesi sitaki aniachie peke yangu. Ila soon tu namuondoa huruma ndio zilifanya nimuweke hapa.

Na kingine ukiona mtu anakataliwa ujue kuna jambo. Ukiona mtu anakimbiliwa na kwa gharama kubwa, wanaomtaka sio wajinga.
 
Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako.

Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote yana mahusiano gani na ufanisi wa kazi?

Akiajiriwa anaanza kuleta blah blah; dunia ya sasa sio ya kuoneana huruma, huna uthubutu wa kufanya kazi kwa ufanisi, acha dunia ikufundishe.

Huku sekta binafsi, kitakachokuweka kazini ni ufanisi wako katika uzalishaji pamoja na kusaidia kampuni kuingiza faida; hayo mambo sijui nategemewa huku hakuna.

Vijana pigeni kazi

Sure hata sekta binafsi siku izi nako ushubwada tu fitna majungu kubaguana yapo sana ukiwa unaonesha kutaka kufuatilia jambo unawekewa block viongozi nao kuficha ficha madhaifu yao kuetegesheana masongombiko kuonea wafanyakazi wa chini pia politics za kazi wakubwa kulinda kibarua.
 
Back
Top Bottom