Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako.
Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote yana mahusiano gani na ufanisi wa kazi?
Akiajiriwa anaanza kuleta blah blah; dunia ya sasa sio ya kuoneana huruma, huna uthubutu wa kufanya kazi kwa ufanisi, acha dunia ikufundishe.
Huku sekta binafsi, kitakachokuweka kazini ni ufanisi wako katika uzalishaji pamoja na kusaidia kampuni kuingiza faida; hayo mambo sijui nategemewa huku hakuna.
Vijana pigeni kazi