Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
- Thread starter
-
- #81
Upo sahihi mkuu, but this time sina upuuz huo, nilimsamehe mwanzo, kwasasa atabaki chombo cha stareheWe jamaa huyo demu ameshajua wewe ni dhaifu kwake na akikubembeleza na vimaneno vya nakupenda nakupenda unadinda unajaa, na unaonyesha hauna backup kwamba huyo demu akikuacha utakufa na nyege
Upo sahihi mkuu, but this time sina upuuz huo, nilimsamehe mwanzo, kwasasa atabaki chombo cha stareheKweli we ushafanywa ndondocha
Asante kwa ushaurKwa maelezo yako jibu tayari unalo sidhan kama hata unataka ushauri wetu.
Anyway jibu unalo mwenyewe chagua hisia zikuendeshe au akili ifanye kazi.
HahaahahaBadili heading isomeke,usiweke miguu miwili kwa single maza.
Kiukweli sijaelewa unanichanganya
Una miaka 27, ana miaka 21 ana mtoto, anachapwa nje, bado unazuga nae kwa ajili ya kujipoza.Hongera inaonekana ulijiunga(2014) ukiwa unamiaka 17 tu😒😒.
Hii chai tupu..
AsanteUna miaka 27, ana miaka 21 ana mtoto, anachapwa nje, bado unazuga nae kwa ajili ya kujipoza.
Wake up man.
Sawa mkuuTulisema single mama sio wakuoa ni kuwala mbususu wapite na mia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uwe nae kwaajili ya kupiga mzigo tu!!? My brother Kuna utiai,gono,kaswende,ukimwi, upotevu was muda,pesa. Why uwe na mtu bila sababu ya msingi? Time Will TellHabari ya mchana wana jf
Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani.
Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye nilimkuta na mtoto mmoja na huyu mtu wangu anaishi kwao bado.
Huku mm nikiwa nipo kwangu kuweka mambo sawa ili mungu akipenda siku 1 nimchukue kwa ndoa japo dini ni tofauti bas mwaka jana mwshon nikiwa kazini nikiwa nipo na mtu naefahamiananae ambaye alkua anajua kua yule mschana sipo nae bas akawa ananiambia daa yule shem wa zamani skuhz anatoka na mtu flani na hadi anampikia msosi wanalala wote yan mapenz motomoto, nilimuulza mtu gani akanitajia jina la boy na hilo jina halikua gen kwangu kwan ni mpangaji mwenzao nyumbani kwao.
Kiukweli niliumia sana sana, ukizingatia nilikua namuamini 100% , nikfanya upelelez japo huyu mschana wangu alikataa kata kata yani alilia siku 4 mfululizo bas nami nikafanya upelelezi kwa watu wakarbu ikiwapo watoto wanaoishi nyumba ile pasipo na shaka wote walithibitisha kuwa hili ni la kweli kabisa, ila nikasema kwavile sijathibitsha kwa macho bas nimsamehe maisha yaende .
Badae nikaja kumnunulia simu ilikua hz sm za samsng mtu akifuta sms bas lazma ibaki kwenye recycle bin na yule alikua hajui, basi siku moja nikiwa nmeingia upande wa recycle bin nikaona sms jina lilelile anasema mbona nimekusubiri hujafika nae akamjibu nafika ila usipige. Nikambana ilikuaje akajitetea mm nikapoteza,.
Kubwa kuliko kuna mtu ambaye ndio huyohuyo jina lake nimeliskia sana amenitafuta kwa sm na kuniambia anaomba tuonane anajambo anataka tuongee, nikimkubalia tulionana cha kwanza alianza kunithibitishia kua hayo yote uliyowah sikia ni ya kweli, na kunionyesha picha mbalimbali za huyu mschn akiwa geto kwake jamaa akipika na akiwa anadeki nyngne ni nyng, lengo la kunifata jamaa ni kunishaur kua huyu mwanmke anatamaa sana, na kwasasa ameanza had kudanga kwa watu tofaut kwahyo kma nilikua na malengo bas niish nae kwa target sana niwe makini.
Juu ya hili sijamwambia huyu binti chochote ila nimeona nimuache kidogo kidogo kila mtu ashike zake au option ya 2 niwe nae kwaajili ya kupiga tu mzgo kila mtu ashike zake.
Haya yametokea juz,jana kwahyo bado matanga hayajaanuliwa.
Ahsanteni wana jf, karibun kwa ushauri zaidi.
Umeandika ujinga ganUna miaka 27, ana miaka 21 ana mtoto, anachapwa nje, bado unazuga nae kwa ajili ya kujipoza.
Wake up man.
Ujinga ni sifa mkuu nielimishe mwerevuUmeandika ujinga gan
Mwanangu tulikwambia nyoka afugwi wewe unangangania kumfuga nasemajeee endelea kumfunga kitakachokukuta usisahau kuja kutupa mrejesho.Habari ya mchana wana jf
Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani.
Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye nilimkuta na mtoto mmoja na huyu mtu wangu anaishi kwao bado.
Huku mm nikiwa nipo kwangu kuweka mambo sawa ili mungu akipenda siku 1 nimchukue kwa ndoa japo dini ni tofauti bas mwaka jana mwshon nikiwa kazini nikiwa nipo na mtu naefahamiananae ambaye alkua anajua kua yule mschana sipo nae bas akawa ananiambia daa yule shem wa zamani skuhz anatoka na mtu flani na hadi anampikia msosi wanalala wote yan mapenz motomoto, nilimuulza mtu gani akanitajia jina la boy na hilo jina halikua gen kwangu kwan ni mpangaji mwenzao nyumbani kwao.
Kiukweli niliumia sana sana, ukizingatia nilikua namuamini 100% , nikfanya upelelez japo huyu mschana wangu alikataa kata kata yani alilia siku 4 mfululizo bas nami nikafanya upelelezi kwa watu wakarbu ikiwapo watoto wanaoishi nyumba ile pasipo na shaka wote walithibitisha kuwa hili ni la kweli kabisa, ila nikasema kwavile sijathibitsha kwa macho bas nimsamehe maisha yaende .
Badae nikaja kumnunulia simu ilikua hz sm za samsng mtu akifuta sms bas lazma ibaki kwenye recycle bin na yule alikua hajui, basi siku moja nikiwa nmeingia upande wa recycle bin nikaona sms jina lilelile anasema mbona nimekusubiri hujafika nae akamjibu nafika ila usipige. Nikambana ilikuaje akajitetea mm nikapoteza,.
Kubwa kuliko kuna mtu ambaye ndio huyohuyo jina lake nimeliskia sana amenitafuta kwa sm na kuniambia anaomba tuonane anajambo anataka tuongee, nikimkubalia tulionana cha kwanza alianza kunithibitishia kua hayo yote uliyowah sikia ni ya kweli, na kunionyesha picha mbalimbali za huyu mschn akiwa geto kwake jamaa akipika na akiwa anadeki nyngne ni nyng, lengo la kunifata jamaa ni kunishaur kua huyu mwanmke anatamaa sana, na kwasasa ameanza had kudanga kwa watu tofaut kwahyo kma nilikua na malengo bas niish nae kwa target sana niwe makini.
Juu ya hili sijamwambia huyu binti chochote ila nimeona nimuache kidogo kidogo kila mtu ashike zake au option ya 2 niwe nae kwaajili ya kupiga tu mzgo kila mtu ashike zake.
Haya yametokea juz,jana kwahyo bado matanga hayajaanuliwa.
Ahsanteni wana jf, karibun kwa ushauri zaidi.
What if alikusaliti kwa kutotoa dozi kamiliHabari ya mchana wana jf

Kwanza utajuaje Kama atakusalitu ndo usimpe nafasi ya kwanza achilia mbali hiyo ya piliMwanamke atakayekusaliti usimpe hata nafasi ya kwanza, achilia mbali ya pili.
Mwanamme halisi anatakiwa kuwa na ujuzi na falsafa kama za Saddam Hussein.Kwanza utajuaje Kama atakusalitu ndo usimpe nafasi ya kwanza achilia mbali hiyo ya pili
Mkuu hicho kipaji wewe unacho?Mwanamme halisi anatakiwa kuwa na ujuzi na falsafa kama za Saddam Hussein.
Saddam Hussein aliwahi kusema kuwa ana uwezo wa kumjua mtu fulani atakuwa msaliti kabla ya huyo msaliti hajajua kuwa atakuwa msaliti.
Hiki ni kipaji, si kila mtu anaweza.
Nakitumia kila siku.Mkuu hicho kipaji wewe unacho?