Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu

Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu

Mtu yoyote anayekusaliti kama sio mke au mume hapaswi kupewa nafasi ya 2
 
Attachments

  • Screenshot_20240719_104904_Messages.jpg
    Screenshot_20240719_104904_Messages.jpg
    172 KB · Views: 16
Mwanamke atakayekusaliti usimpe hata nafasi ya kwanza, achilia mbali ya pili.
Kwa faida ya wengi tusaidie ku Define usaliti mkuu

Yaani akitongozwa na akakubali ila asiSex

Au mpaka Asex ndiyo tunamvika bango la Usaliti?

Msaada🙏
 
Kwa faida ya wengi tusaidie ku Define usaliti mkuu

Yaani akitongozwa na akakubali ila asiSex

Au mpaka Asex ndiyo tunamvika bango la Usaliti?

Msaada🙏
Usaliti ni a personal thing.

Kuna mtu ukiwa CCM tu tayari wewe ni msaliti.
 
We jamaa huyo demu ameshajua wewe ni dhaifu kwake na akikubembeleza na vimaneno vya nakupenda nakupenda unadinda unajaa, na unaonyesha hauna backup kwamba huyo demu akikuacha utakufa na nyege
 
Badili heading isomeke,usiweke miguu miwili kwa single maza.
Kiukweli sijaelewa unanichanganya
 
Kwa maelezo yako jibu tayari unalo sidhan kama hata unataka ushauri wetu.

Anyway jibu unalo mwenyewe chagua hisia zikuendeshe au akili ifanye kazi.
 
Back
Top Bottom