Usimpige mwanamke ngumi na mateke

Mnahangaika kujibizana na watu kama hawa? Mtu mwenyewe hajaoa, analala kwa shemeji atajulia wapi mambo ya ndoa?
 
Wanaume wachache sana sa hv wanaweza kutupiga na bakora..... Wengi wao chips mayai..... Badala ya wao kutupiga bakola sie ndo tunawapiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…