Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Kuna matapeli wengi wanatumia dp za watu wenye majina, kumbuka mastaa wengi hawatongozi bali hutongozwa kwa hiyo akili kichwani mwako.
 
Ngoja ni-like toka uzi wako wa mwanzo humu useme hiiiiiiiiiii tena 🤣🤣
 
Once a cheater always a cheater!
Vipi weye love ukimuelewa mwanamke huwezi cheat????

Anyways, mtoa mada kaongelea vitu vingiii kwa pamoja wajua kichwa yangu ilivo kilaza kuelewa! Msaada wa kueleweshwa pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
I don't cheat...
 
Mwanamke akicheat nje, automatically heshima kwa mume itapungua ipo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…