Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Hili huwa linanifikirisha sana halafu watu wa kujipost kama hao tayari wameolewa lakini wale ambao ni wife material wapo tu wanasubiri . Dunia haiko fair aisee
 
Mbona hujamalizia story ulitoa mbunye au
 
Mimi ni kama ndembele tu mke wangu anaonekana siku za matukio maalumu. Nitammiliki na kumlinda kama almasi. Yoyote atakaye onesha dalili za kummezea mate ni risasi tu
Matukio gani msiba au sherehe mwanamke kuliwa ataliwa tuu..... Mm sina muda wa kuchunga mtu aliyeambiwa usitoke na akatoka

ajue tumeoana sheria zifuatwe haiwezekani basi kila lenye khery mm ni mtu wa amani km jina langu lilivyo
 
kwa nini mkuu,mi sioni kosa kumpenda mtu mwingine kama mazingira yanaruhusu.
Mwanamke akipenda huko anakuwa malaya mwanaume anakuwa rijali.
nyie kuna wakaka ukiingia kwenye 18 zao huchomoki
Kweli kuna 18 mkiingia huwa hamchomoki πŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…