Usimsifie mtoto wako wa kiume kuwa ni handsome boy akasikia, utamharibu

Hii mada ina mantiki kubwa ila naona wengi wame concentrate kwenye jambo dogo sana. Kwa sisi wazazi wenye watoto wa kiume tunaelewa nini unachomaanisha. Ninachoshukuru nakaa naye mwenyewe ivyo namuweka kwenye misingi yangu.

Binafsi sijaona sababu ya msingi ya kwambia mtoto wako ni handsome. Wewe ni jasiri, shupavu, una akili hizi ni mfano wa kauli chanya kwa mtoto kumjenga psychologically.
 
Mimi nimemuelewa hakusema haiwezekani, amesema si rahisi means the probability/the chances is low as compared to the counterpart. Yes wachache wanaweza,lakini statistically sio significant.
 
πŸ˜‚
 

kwaiyo na huyu shoga maarufu huku jf [mention]Chizi Maarifa [/mention] alikua anasifiwa alivokua mdogo
 

Nina kangu Kamoja nitatakapeleka shamba chap kakikua kakubwa Naona wanashibana sana na mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…