Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Haya mi yalishanikuta ila mwisho wa siku nikaona ni upuuzi kuumiza kichwa kwa kumfikiria mtu asiyenifikiria na wala sikujua kama ntakutana nae so nikaanza kukaa kimya ,nikiwa mpweke naingia zangu bar naagiza mzinga wangu earphone zangu maskio taratiiibu najiburudisha siku inaisha
Sawa sawa mkuu, stress za kazi gani
 
What goes around comes around mkuu, usijifu kwa hilo sababu mwisho wako utakuwa wa majuto sana.
Hahaha nacheka kichina huha.

Kauli za faraja hizo,Na mabinti wapenda pesa haswa hawa katika himaya yangu wataisoma namba zaidi.

"Maisha ni mchanganyiko wa taabu nyingi sana zilizoambatana na chembe chembe ndogo sana za raha"
 
Mimi nilimchunguza wasap na nikagundua kila kitu na akapigiwa simu akajiandaa mi nipo kitandani akanambia anaenda bank akajiandaa akaondoka zake. Akiwa njiani alituma bonge la sms kuwa NIKOME KABISA KUSHIKA SIMU YAKE NA KUMUHARIBIA UHUSIANO WAKE NA WATU WA KARIBU iliniuma sanaaa sikujibu lolote. Nilikuja kuona kajiengua mwenyewe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Duh!si mchezo
 
Huwezi kumpenda mtu usiyemuamini mkuu
Unataka nirekebishe kauli yangu?

Unaweza ukakipenda lakni ukawa haukiamini

Tunayapenda magari lakni atuyaamini pia.
Tunawapenda wanawake ktk matamanio lakini hatuwaamini kama hawawezi kusaliti nk.
 
Nafikiri hujanielewa, jamani nifunzeni maujanja humu nataka kudukua mawasiliano, nimeshachoka
Maujanja hatukupi mkuu maana tunajua mtaachana asubuhi tu.

Tumia papuchi ukichoka tupa kule basi ndio mwisho
 
Mpe vibunda vya Noti nyekundu .. Atakukubali ile mbaya kwa maneno maneno atakuona Fala......
Afu Usifanye Udukuzi we jamaa
 
Nafikiri hujanielewa, jamani nifunzeni maujanja humu nataka kudukua mawasiliano, nimeshachoka
Kama unatumia Anroid ukienda google playstore kuna app inaitwa WHATS WEB CHAT....

Unaidownload halafu ukipata simu ya huyo wifi yangu unaingia whatsapp kune settings kuna sehemu ya whatsapp web.

Then kune simu yako utafungua hiyo app WHATS WEB CHAT...utascan sasa QR code ya inayoonekana hapo kune whatsapp web(kune simu ya wifi etu)....
 
Ahsante sana ila mie ni ke
 
Back
Top Bottom