Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Kwako wewe haudhani, ila sasa nafikiri ukipendana na mtu unajua kilichomo kwenye moyo wake, ndio maana unasema hivyo.

But let me advise you, before falling in love, make a copy of your heart leave it behind, just incase!!
Thanks
 
Hahaha nacheka kichina huha.

Kauli za faraja hizo,Na mabinti wapenda pesa haswa hawa katika himaya yangu wataisoma namba zaidi.

"Maisha ni mchanganyiko wa taabu nyingi sana zilizoambatana na chembe chembe ndogo sana za raha"
Sawa bana
 
Back
Top Bottom