Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Hapana mkuu, nikijiridhisha namwacha aende kwa amani kabisa, sijawahi na sitarajii kuanzisha timbwili hata kama nipo kwenye ndoa, sasa mkuu bado uchumba tu naona maluweluwe si bora nijiridhishe mapema kabla sijamwita majuto
Ni jambo zuri but kuwa makini tu usije fanya maamuzi yasiyo sahihi tu
 
Acha kuandika sana mimi nikiwa Dar mwanamke yupo Bagamoyo tu penzi lazima litakufa itakua wewe uliyehama mkoa?
mwanamke ni wako ukiwa naye hapohapo,akiondoka sio wako tena
 
Hawa jamaa zetu hawa,..nikuwaweka kwenye maombi tuu na kufunga 3 kavu,.Mungu awape Rehema na Neema,.
[emoji124] [emoji124] akianza safari yakwenda ghafula [emoji125] [emoji125] kurudi nyumbani, tutafunga tu kabla hajaenda
Mungu anakuonyesha unatibua dili [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji124] [emoji124] akianza safari yakwenda ghafula [emoji125] [emoji125] kurudi nyumbani, tutafunga tu kabla hajaenda
Mungu anakuonyesha unatibua dili [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha,..maombi yatawanyoosha tuu,.
 
Back
Top Bottom