Kwako wewe haudhani, ila sasa nafikiri ukipendana na mtu unajua kilichomo kwenye moyo wake, ndio maana unasema hivyo.Sidhani labda kama mmeamua kuigiziana kwa kweli
Sawa sawa mkuu, stress za kazi ganiHaya mi yalishanikuta ila mwisho wa siku nikaona ni upuuzi kuumiza kichwa kwa kumfikiria mtu asiyenifikiria na wala sikujua kama ntakutana nae so nikaanza kukaa kimya ,nikiwa mpweke naingia zangu bar naagiza mzinga wangu earphone zangu maskio taratiiibu najiburudisha siku inaisha
Hahaha nacheka kichina huha.What goes around comes around mkuu, usijifu kwa hilo sababu mwisho wako utakuwa wa majuto sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Duh!si mchezoMimi nilimchunguza wasap na nikagundua kila kitu na akapigiwa simu akajiandaa mi nipo kitandani akanambia anaenda bank akajiandaa akaondoka zake. Akiwa njiani alituma bonge la sms kuwa NIKOME KABISA KUSHIKA SIMU YAKE NA KUMUHARIBIA UHUSIANO WAKE NA WATU WA KARIBU iliniuma sanaaa sikujibu lolote. Nilikuja kuona kajiengua mwenyewe tu
Unataka nirekebishe kauli yangu?Huwezi kumpenda mtu usiyemuamini mkuu
Nafikiri hujanielewa, jamani nifunzeni maujanja humu nataka kudukua mawasiliano, nimeshachokaHapana mm sikushauri hata mkuu sababu sihitaji majuto aje kuwa mjukuu kwako
Maujanja hatukupi mkuu maana tunajua mtaachana asubuhi tu.Nafikiri hujanielewa, jamani nifunzeni maujanja humu nataka kudukua mawasiliano, nimeshachoka
Unajua ukishakuwa na wasiwasi na mtu ni vema ujiridhishe kabla ya maamuziMaujanja hatukupi mkuu maana tunajua mtaachana asubuhi tu.
Tumia papuchi ukichoka tupa kule basi ndio mwisho
Kama unatumia Anroid ukienda google playstore kuna app inaitwa WHATS WEB CHAT....Nafikiri hujanielewa, jamani nifunzeni maujanja humu nataka kudukua mawasiliano, nimeshachoka
Ahsante sana ila mie ni keKama unatumia Anroid ukienda google playstore kuna app inaitwa WHATS WEB CHAT....
Unaidownload halafu ukipata simu ya huyo wifi yangu unaingia whatsapp kune settings kuna sehemu ya whatsapp web.
Then kune simu yako utafungua hiyo app WHATS WEB CHAT...utascan sasa QR code ya inayoonekana hapo kune whatsapp web(kune simu ya wifi etu)....
duh sorry mwaya...Ahsante sana ila mie ni ke
Usijali myduh sorry mwaya...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] naona unataka kulianzishaUsijali my
Watu mko macho...[emoji3] [emoji3] [emoji3] naona unataka kulianzisha
Kulianzisha nini tena jamani[emoji3] [emoji3] [emoji3] naona unataka kulianzisha
Si unataka kumdukua mtu so hapo lazima timbwili litokeeKulianzisha nini tena jamani