Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Sio swala la kumchoka. Unaona dalilinza wazi wazi kabisa na una mounya lakini anakuwa na kiburi. Ili kumbana vizuri basi ushahidi unahitajika ili akibisha unamwaha mboga na ugali ili abaki na roho yake.Utakufa kwa mshtuko mkuu, mtu kama humpend au umemchoka muache aende zake...lkn sio kuchunguza visivyochunguzika unakua kama unamtafutia sababu.
Ingia playstore, pakua app inaitwa Whats Web kwenye simu yako. Ifungue itakuletea picha ya code. Kisha chukua simu ambayo unataka kuidukua.Hili la kudukua simu nalitamani Ila nilishashindwa,nisaidieni wakuu
Ndo ivyo mkuu tena bora ujue demu anakucheat kabla hujaoa aisee mke nadhani ndo anauma zaidi, inabidi twende nao sawa ila ukishaona dalili bora kaa pembeni mapemaDaaah mapenzi ni ushezi sana,hivi kuna wadada waaminifu 100% hawa cheat kweli? Ndo maana vijana hawaoi maana unakuwa namsichana unamwamin ila.lazma makucha yajidhihirishe tu.
Lakin acha tuende nayo hivo hivo
Hahahahaha hawaaminigi kama umewadaka. Yaan wanakataa lakini kinacho wauma kukupoteza ww ni kama wamepoteza muwekezaji so pesa zitapungua.Huo muendelezo unafanana na ishu yangu hvyo hvyo yani.
Alafu wanawake hta ukimuelezea kila kitu na ushahidi wa uhuni wake bdo atang'ang'ani kubisha yani huwaga awakubali kma wanafanya umalaya
Hizo chats utakua unaziona kupitia whatsap web au whatasap yangu ya kawaidaIngia playstore, pakua app inaitwa Whats Web kwenye simu yako. Ifungue itakuletea picha ya code. Kisha chukua simu ambayo unataka kuidukua.
Hakikisha simu zote ziwe na data. Ingia whatsapp yake, juu kulia kwenye kona kuna vidoti vitatu, bofya hapo.
Ingia palipoandikwa WhatsApp Web, kisha bofya hapo palipoandikwa "ok got it"
Kisha weka simu yako chini ya simu yake ili uweze kuscan QR code ya kwenye ile application iliyo kwenye simu yako.
Sekunde chache tu whatsapp yake itahamia na kwenye simu yako. Na utaanza kuona kila kitu. Ila ili uweze kuona inabidi simu yake data iwe on.
Akizima data hauoni akiwasha unaendelea kuona mtiririko mzima. Kuanzia chati zake, namba zake alizosave na status zake. Hata simu yake ikiisha chaji itakuonesha. Na unauwezo wa kuchati na watu wake, huku wao wakijua wanachati na yeye.View attachment 813834View attachment 813835View attachment 813836View attachment 813837
Ahsante sana rafikiIngia playstore, pakua app inaitwa Whats Web kwenye simu yako. Ifungue itakuletea picha ya code. Kisha chukua simu ambayo unataka kuidukua.
Hakikisha simu zote ziwe na data. Ingia whatsapp yake, juu kulia kwenye kona kuna vidoti vitatu, bofya hapo.
Ingia palipoandikwa WhatsApp Web, kisha bofya hapo palipoandikwa "ok got it"
Kisha weka simu yako chini ya simu yake ili uweze kuscan QR code ya kwenye ile application iliyo kwenye simu yako.
Sekunde chache tu whatsapp yake itahamia na kwenye simu yako. Na utaanza kuona kila kitu. Ila ili uweze kuona inabidi simu yake data iwe on.
Akizima data hauoni akiwasha unaendelea kuona mtiririko mzima. Kuanzia chati zake, namba zake alizosave na status zake. Hata simu yake ikiisha chaji itakuonesha. Na unauwezo wa kuchati na watu wake, huku wao wakijua wanachati na yeye.View attachment 813834View attachment 813835View attachment 813836View attachment 813837
Amen, mkuu mtuombee na sisi pia tutawaombea [emoji1]Hawa jamaa zetu hawa,..nikuwaweka kwenye maombi tuu na kufunga 3 kavu,.Mungu awape Rehema na Neema,.
KwaniniAcha kuandika sana mimi nikiwa Dar mwanamke yupo Bagamoyo tu penzi lazima litakufa itakua wewe uliyehama mkoa?
Hhaha mabumundaaa ndo utatumia kama keki au?Soon...unakulaga mabumunda?
Kupitia whatsapp web.Hizo chats utakua unaziona kupitia whatsap web au whatasap yangu ya kawaida
Oky asanteeKupitia whatsapp web.
NdioHhaha mabumundaaa ndo utatumia kama keki au?
Yani atakukazia na matusi utatukanwa kabisa yani, aisee wanawake cheaters ni viumbe wa pekee sana yani. They will always try to make you feel stupid out of their mistakes hasa ukishawagutukia!Huo muendelezo unafanana na ishu yangu hvyo hvyo yani.
Alafu wanawake hta ukimuelezea kila kitu na ushahidi wa uhuni wake bdo atang'ang'ani kubisha yani huwaga awakubali kma wanafanya umalaya
Kitakwimu mtu na mpenzi wake inatakiwa angalau waingiliane mara mbili ndani ya juma moja.Kwanini
Inabidi uwe jasiri maana mengine unaweza ona badala yakufuatilia unakauka na simu mkononi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ndio mkuu
Ila nyinyi mnapaswa kuaminiwa?dah, mkuu kumwamini mwanamke asiimia zote ni sawa na kujitengenezea kitanzi wewe mwnyewe, haya yote yanasababishwa na kua na mpenzi mmoja lazima utaumia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] muwekezajiHahahahaha hawaaminigi kama umewadaka. Yaan wanakataa lakini kinacho wauma kukupoteza ww ni kama wamepoteza muwekezaji so pesa zitapungua.