Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Utakufa kwa mshtuko mkuu, mtu kama humpend au umemchoka muache aende zake...lkn sio kuchunguza visivyochunguzika unakua kama unamtafutia sababu.
Sio swala la kumchoka. Unaona dalilinza wazi wazi kabisa na una mounya lakini anakuwa na kiburi. Ili kumbana vizuri basi ushahidi unahitajika ili akibisha unamwaha mboga na ugali ili abaki na roho yake.
 
Hili la kudukua simu nalitamani Ila nilishashindwa,nisaidieni wakuu
Ingia playstore, pakua app inaitwa Whats Web kwenye simu yako. Ifungue itakuletea picha ya code. Kisha chukua simu ambayo unataka kuidukua.

Hakikisha simu zote ziwe na data. Ingia whatsapp yake, juu kulia kwenye kona kuna vidoti vitatu, bofya hapo.
Ingia palipoandikwa WhatsApp Web, kisha bofya hapo palipoandikwa "ok got it"
Kisha weka simu yako chini ya simu yake ili uweze kuscan QR code ya kwenye ile application iliyo kwenye simu yako.

Sekunde chache tu whatsapp yake itahamia na kwenye simu yako. Na utaanza kuona kila kitu. Ila ili uweze kuona inabidi simu yake data iwe on.

Akizima data hauoni akiwasha unaendelea kuona mtiririko mzima. Kuanzia chati zake, namba zake alizosave na status zake. Hata simu yake ikiisha chaji itakuonesha. Na unauwezo wa kuchati na watu wake, huku wao wakijua wanachati na yeye.
20180720_100703.jpg
20180720_100914.jpg
20180720_100840.jpg
20180720_100738.jpg
 
Daaah mapenzi ni ushezi sana,hivi kuna wadada waaminifu 100% hawa cheat kweli? Ndo maana vijana hawaoi maana unakuwa namsichana unamwamin ila.lazma makucha yajidhihirishe tu.
Lakin acha tuende nayo hivo hivo
Ndo ivyo mkuu tena bora ujue demu anakucheat kabla hujaoa aisee mke nadhani ndo anauma zaidi, inabidi twende nao sawa ila ukishaona dalili bora kaa pembeni mapema
 
Huo muendelezo unafanana na ishu yangu hvyo hvyo yani.
Alafu wanawake hta ukimuelezea kila kitu na ushahidi wa uhuni wake bdo atang'ang'ani kubisha yani huwaga awakubali kma wanafanya umalaya
Hahahahaha hawaaminigi kama umewadaka. Yaan wanakataa lakini kinacho wauma kukupoteza ww ni kama wamepoteza muwekezaji so pesa zitapungua.
 
Ingia playstore, pakua app inaitwa Whats Web kwenye simu yako. Ifungue itakuletea picha ya code. Kisha chukua simu ambayo unataka kuidukua.

Hakikisha simu zote ziwe na data. Ingia whatsapp yake, juu kulia kwenye kona kuna vidoti vitatu, bofya hapo.
Ingia palipoandikwa WhatsApp Web, kisha bofya hapo palipoandikwa "ok got it"
Kisha weka simu yako chini ya simu yake ili uweze kuscan QR code ya kwenye ile application iliyo kwenye simu yako.

Sekunde chache tu whatsapp yake itahamia na kwenye simu yako. Na utaanza kuona kila kitu. Ila ili uweze kuona inabidi simu yake data iwe on.

Akizima data hauoni akiwasha unaendelea kuona mtiririko mzima. Kuanzia chati zake, namba zake alizosave na status zake. Hata simu yake ikiisha chaji itakuonesha. Na unauwezo wa kuchati na watu wake, huku wao wakijua wanachati na yeye.View attachment 813834View attachment 813835View attachment 813836View attachment 813837
Hizo chats utakua unaziona kupitia whatsap web au whatasap yangu ya kawaida
 
Ahsante sana rafiki
 
Huo muendelezo unafanana na ishu yangu hvyo hvyo yani.
Alafu wanawake hta ukimuelezea kila kitu na ushahidi wa uhuni wake bdo atang'ang'ani kubisha yani huwaga awakubali kma wanafanya umalaya
Yani atakukazia na matusi utatukanwa kabisa yani, aisee wanawake cheaters ni viumbe wa pekee sana yani. They will always try to make you feel stupid out of their mistakes hasa ukishawagutukia!
 
Kitakwimu mtu na mpenzi wake inatakiwa angalau waingiliane mara mbili ndani ya juma moja.

Kisayansi bond ya mwanamke na mwanamme huimarishwa zaidi na tendo la ndoa.

Kimahitaji kulingana na Manslaw alivyosema ni kwamba kukaa muda mkubwa bila kufanya tendo inawezekana lakini haishauriwi kwakua ngono ni miongoni mwa hitaji la msingi la kila binadamu.
 
dah, mkuu kumwamini mwanamke asiimia zote ni sawa na kujitengenezea kitanzi wewe mwnyewe, haya yote yanasababishwa na kua na mpenzi mmoja lazima utaumia tu
Ila nyinyi mnapaswa kuaminiwa?
 
Back
Top Bottom