Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
Hili Jambo Mjomba alinisisitiza mara nyingi sana.
Katika Jambo ambalo mama yangu alinisisitiza sana ni katika swala la utunzaji wa Fedha, Mama yangu alinikataza sana nisiwe Mwepesi wa kutoa Fedha kwa mwanamke.
Mama yangu aliniambia "Mwanamke Hana Upendo na mwanaume ila anaupendo na Vitu unavyompa na pesa yako, kama hauna kitu mwanamke hatokua karibu na wewe, sasa Ili uishi kwa Raha hakikisha pesa na Mali zako azipotei kwa sababu ya mwanamke au mapenzi"
Na siku nyingine mama yangu aliniambia mwanangu" Usimuamini mwanamke ulienae katika mapenzi, na usimpende sana mwanamke, siku akijua kua unampenda ndo mwanzo wa kuaribu Maisha yako"
Pia siku nyingine mama yangu aliniambia USIWEKEZE kwa Mwanamke, alirudia Tena USIWEKEZE kwa Mwanamke Mwanamke Hana kumbukumbu ya mema unayomtendea ila ana kumbukumbu mbaya utakayo mtendea, USIWEKEZE kwa Mwanamke.
"Katika Maisha hautakiwi kumuamini mwanamke, hata iweje Usimuamini, mwanamke ni Nyoka,
Nyoka Paswi kuaminiwa.