Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

Mi hata siku Moja sitakagi kua ktk uhusiano na Mwanamke ninae naempenda najua madhara yake
Sijawai kua na bahati na wanawake nilipo wapenda Sana.

For DEVINE PURPOSE huwa tuna achana kwenye mazingira ya utata.

Now nampenda mke wangu kwa kiasi ni school mate o level nili mwacha vidato hatukua tuna Juana Ila yeye alinijua sababu nilikuaga prefect shuleni pia nilifaulu kwenda a level kwa kishindo.

Baada ya kuhitimu chuo kikuu nikiwa mitaa Fulani nikashangaa naitwa kwa majina yangu kuangalia ni mdada nisie mfahamu akajitambulisha Mimi Fulani..wa secondary fulani.Mimi hata si mkumbuki ndipo tulipo Juana na KUBADILISHANA namba the rest is History.

Ni wife material mpambanaji so Mimi nimeoa sio mtu nilie mpenda Sana Ila yeye ndie anae nipenda Sanaa nikaona nisipoteze nafasi ya kuwa mke wangu
 
Baba yangu alinambia kamwe nisiishi maisha ya kumpga mke.

Alinambia pia tabia za wanawake hazitofautiani ila wanaumd ndo wanatofautiana kuchukuliana nao.
Mzee mwingine ambaye ni msomi na mlokole alinambia hivohivo.
Ila aliongeza kusema hata mwanaume akijenga nyumba nzuri hawez ifaid maana niwachache wenye amani kuishi kwenye nyumba walizo jenga wenyew.
Kuna mzee mmoja wa kikurya alinambia kua MASIKIO YA MWANAMKE YAPOGO KWENYE KUM* YAKE sijuagi mpaka Leo yule mzee alimaanisha Nini..

Au Ali maanisha umpige machine kisawasawa/umkojoze sanaa
 
Kuna mzee mmoja wa kikurya alinambia kua MASIKIO YA MWANAMKE YAPOGO KWENYE KUM* YAKE sijuagi mpaka Leo yule mzee alimaanisha Nini..

Au Ali maanisha umpige machine kisawasawa/umkojoze sanaa
Duuu! Mzee alifunguka mazima, hapo tuombe msaada kwa wahenga watufafanulie😂😂😂
 
"Mwanamke Hana Upendo na mwanaume ila anaupendo na Vitu unavyompa na pesa yako, kama hauna kitu mwanamke hatokua karibu na wewe, sasa Ili uishi kwa Raha hakikisha pesa na Mali zako azipotei kwa sababu ya mwanamke au mapenzi"
 
Samahani babako yeye hakukuambia chochote?
Wakati mamako anakuambia usimuamini mwanamke yeyote, je wewe ulimuweka upande gani na yeye alijiweka upande gani?
 
Back
Top Bottom