Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

Binafsi nimeliona kwangu!!

Nilichukua kinyoka kikiwa kidogo sana Tena kinatia huruma huko kwao,nikakaleta nikakalea Leo limekua joka kubwa hadi linasema eti nililichukua coz lilikua linahela Kwa akaunti!wakati hata senti lilikua halina!!
Hao ndo wanawake huwa awajui wanataka Nini mfanyie ubaya atakuona WA maana kwake.
 
Mi hata siku Moja sitakagi kua ktk uhusiano na Mwanamke ninae naempenda najua madhara yake
Chapa ilale na yule main chick ni yule ambaye humzingatii😀😀😀yaani ni wa kawaida kishenzi maisha full burdani.
 
Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"

Hili Jambo Mjomba alinisisitiza mara nyingi sana.

Katika Jambo ambalo mama yangu alinisisitiza sana ni katika swala la utunzaji wa Fedha, Mama yangu alinikataza sana nisiwe Mwepesi wa kutoa Fedha kwa mwanamke.

Mama yangu aliniambia "Mwanamke Hana Upendo na mwanaume ila anaupendo na Vitu unavyompa na pesa yako, kama hauna kitu mwanamke hatokua karibu na wewe, sasa Ili uishi kwa Raha hakikisha pesa na Mali zako azipotei kwa sababu ya mwanamke au mapenzi"

Na siku nyingine mama yangu aliniambia mwanangu" Usimuamini mwanamke ulienae katika mapenzi, na usimpende sana mwanamke, siku akijua kua unampenda ndo mwanzo wa kuaribu Maisha yako"

Pia siku nyingine mama yangu aliniambia USIWEKEZE kwa Mwanamke, alirudia Tena USIWEKEZE kwa Mwanamke Mwanamke Hana kumbukumbu ya mema unayomtendea ila ana kumbukumbu mbaya utakayo mtendea, USIWEKEZE kwa Mwanamke.
"Katika Maisha hautakiwi kumuamini mwanamke, hata iweje Usimuamini, mwanamke ni Nyoka,
Nyoka Paswi kuaminiwa.
Umetumia akili sana , ungeongea tu mwanamke watu wangesema mama Yako, dada zako. Si wanawake hahahaha Bora mama Yako KASEMA mapema.
 
Mama yako nae ana ushetani au ni wanawake wengine tu yeye ni special? Anaacha kukupa ushauri wa maana wa maisha na namna za kutafuta pesa anakupa ushauri wa hovyo. Wamatumbi mna safari ndefu.
Wewe kama ni kijana wa kiume.Wewe ni a waste sperm!!!!

Siku ukija kukua na kupata akili timamu ukumbuke kuka kufuta haya mashudu humu JF.
 
Mama yako yupo sawa maana anazungumza na kitu anachokijua maana naye pia ni mwanamke kwaiyo anajijua alivyo na alivyokuwa na baba yako kwaiyo hataki mwanae apite huko ndo maana mwanamke anapenda mwanaume anayeonga ila hapendi mwanae wakiume awe anaonga hela
📌Wewe ni genius💪
 
Mama yako alimaliza Kila kitu.
Katika vitu huwa namjaribu mwanamke niliye na malengo naye ni kumnyima pesa nione kama Bado atakuwa tayari kuwa nami
Huu mtego GOLD DIGGERS wengi huwa wananasa asubuhi na mapema🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sifa ya realman lazima ujiamini , tafuta mwanamke mpambanaji, asiye mbinafsi lako lake ,lake lako ....achana na mambo ya mali zangu sijui Nye Nye Nye nyi nyi mxieeew
Huu ni moja ya ushauri wa kishetani kabisa.Ambao huwezi kumshauri mtoto wako wa kiume.Acheni utapeli nyie mashetani.
 
DUNIA inatudanganya sana na kusababisha MAISHA yakae mbali na SISI 👉 haiingii akilini MTU anakushauri usioe mwanamke unae mpenda how? Mantiki yake hapa uone mwanamke unae mchukia?



May be angekushauri hivi 👉 usioe mwanamke ambaye una Mapenzi makubwa juu yake B'se Msingi wa NDOA ukiwa ni Mapenzi mwisho wake huwa ni mchungu kama pakanga



Note 👉 Mapenzi huwa yana expire i.e huwa yanaisha Ndio maana Msingi wa NDOA ukiwa ni mapenzi ni HATARI b'se mapenzi yakiexpire/yakiisha na NDOA inaisha 😁
Unajicontradict you moron....shame upon you!!!
 
Baba yangu alinambia kamwe nisiishi maisha ya kumpga mke.

Alinambia pia tabia za wanawake hazitofautiani ila wanaumd ndo wanatofautiana kuchukuliana nao.
Mzee mwingine ambaye ni msomi na mlokole alinambia hivohivo.
Ila aliongeza kusema hata mwanaume akijenga nyumba nzuri hawez ifaid maana niwachache wenye amani kuishi kwenye nyumba walizo jenga wenyew.
 
Back
Top Bottom