Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

Binafsi nimeliona kwangu!!

Nilichukua kinyoka kikiwa kidogo sana Tena kinatia huruma huko kwao,nikakaleta nikakalea Leo limekua joka kubwa hadi linasema eti nililichukua coz lilikua linahela Kwa akaunti!wakati hata senti lilikua halina!!
Hao ndo wanawake huwa awajui wanataka Nini mfanyie ubaya atakuona WA maana kwake.
 
Mi hata siku Moja sitakagi kua ktk uhusiano na Mwanamke ninae naempenda najua madhara yake
Chapa ilale na yule main chick ni yule ambaye humzingatii😀😀😀yaani ni wa kawaida kishenzi maisha full burdani.
 
Umetumia akili sana , ungeongea tu mwanamke watu wangesema mama Yako, dada zako. Si wanawake hahahaha Bora mama Yako KASEMA mapema.
 
Mama yako nae ana ushetani au ni wanawake wengine tu yeye ni special? Anaacha kukupa ushauri wa maana wa maisha na namna za kutafuta pesa anakupa ushauri wa hovyo. Wamatumbi mna safari ndefu.
Wewe kama ni kijana wa kiume.Wewe ni a waste sperm!!!!

Siku ukija kukua na kupata akili timamu ukumbuke kuka kufuta haya mashudu humu JF.
 
📌Wewe ni genius💪
 
Mama yako alimaliza Kila kitu.
Katika vitu huwa namjaribu mwanamke niliye na malengo naye ni kumnyima pesa nione kama Bado atakuwa tayari kuwa nami
Huu mtego GOLD DIGGERS wengi huwa wananasa asubuhi na mapema🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sifa ya realman lazima ujiamini , tafuta mwanamke mpambanaji, asiye mbinafsi lako lake ,lake lako ....achana na mambo ya mali zangu sijui Nye Nye Nye nyi nyi mxieeew
Huu ni moja ya ushauri wa kishetani kabisa.Ambao huwezi kumshauri mtoto wako wa kiume.Acheni utapeli nyie mashetani.
 
Unajicontradict you moron....shame upon you!!!
 
Baba yangu alinambia kamwe nisiishi maisha ya kumpga mke.

Alinambia pia tabia za wanawake hazitofautiani ila wanaumd ndo wanatofautiana kuchukuliana nao.
Mzee mwingine ambaye ni msomi na mlokole alinambia hivohivo.
Ila aliongeza kusema hata mwanaume akijenga nyumba nzuri hawez ifaid maana niwachache wenye amani kuishi kwenye nyumba walizo jenga wenyew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…