Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao haujauzoeleka
Kila kitu ni bandia siku hizi:-kope, kucha, shape, rangi, makalio, matiti na sura.
Kabla hujaoa mpitishe kwenye matukio yatakayopukutisha hayo makitu bandia ili uuone uhalisia.
Sio kumpitisha wanawake wa kaliba hiyo utamuona anaamka tu mwenyewe na kuelekea kwenye matukio bila hata kumwambia! Labda tu nikazie malezi yanachangia kwa kiasi kikubwa.