The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Mwingine huyu yani yeye ni jicho tu asubuhi mchana jioni.Munaendelea kusumbuka na hawa viumbe?
Mwanamke humuheshimu mwanamme pindi tu pale anapokua anamla Jicho, nje ya hapo jiandae na mengi sana.
Hakuna anayekuchukia, acha kujishtukia.Naona chama la wanaochukia wanawake limepata mwanachama chachari kama Mayele vile..
Naona chama la wanaochukia wanawake limepata mwanachama chachari kama Mayele vile..
Hakuna anayekuchukia, acha kujishtukia.
Angalia mada za huyu mwandishi alizozungumzia wanawake ....
Tatizo la wanawake mkiambiwa ukweli mnasema mnachukiwa.
Hilo halitajalisha, ukweli ndio huo.
you have a problem, and that's a fact ndugu
Sawa!
Bahati nzuri Niko verified hivyo wanaonijua watakuunga Mkono au kukuona wewe ndio unamatatizo
yes, waangalie topic zako ulizozungumzia wanawake,jibu watakua nalo, wala usihofu!
Sina hofu!
Watu wananijua humu hawana haja ya kusoma nyuzi zangu ili wanitambue
..jifanyie self assessment hapo ulipo..lol
Nipo kwenye Akili yako
Kama unachukia wanawake kivyako, usiambukize wengine, bye.
Badilikeni acheni ubishi ubishi na ukichwa ngumu. Mbona mgumu kuelewa wewe? Unakomaza kichwa kama koboko(sorry it was not intentional). Mchukiwe kwa lipi nyie wanawake wa Bongo?!Kama unachukia wanawake kivyako, usiambukize wengine, bye.
Dawa ni kuwapuuza kila wanachosemawanawake ni waajabu ukiwa mwanaume huchepuki kuna time anazusha kelele tu ukiwa unachepuka kelele ukiwa unawahi kurudi home anakuzoea mwisho kelele ukichelewa ulikuwa wap yaan ilimrad taflani tu na ndio sabab wanaume tunakufa mapema
Ndivyo walivyo awaeleweki.wanawake ni waajabu ukiwa mwanaume huchepuki kuna time anazusha kelele tu ukiwa unachepuka kelele ukiwa unawahi kurudi home anakuzoea mwisho kelele ukichelewa ulikuwa wap yaan ilimrad taflani tu na ndio sabab wanaume tunakufa mapema
Ukiwa fala fala utakufa tu mapemawanawake ni waajabu ukiwa mwanaume huchepuki kuna time anazusha kelele tu ukiwa unachepuka kelele ukiwa unawahi kurudi home anakuzoea mwisho kelele ukichelewa ulikuwa wap yaan ilimrad taflani tu na ndio sabab wanaume tunakufa mapema
Badilikeni acheni ubishi ubishi na ukichwa ngumu. Mchukiwe kwa lipi nyie wanawake wa Bongo?!