Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Mimi Ndio nimeshamaliza, wakufuata afuate, asiyetaka aache
Wewe hujamaliza bado, utakuja tuu, sababu kuna nguvu ndani yako ya kishetani inayokutuma umwage sumu humu, so utarudi tu na topics za kuponda wanawake...unahitaji deliverance.
 
Mimi naongea Hali halisi, Ambayo Vijana wote wanapaswa waijue kuwahusu nyie

Tena ninyi wanawake msio na dini ndio hamstahili hata huo msamiati uitwao huruma
 
Embu nipe sababu Kubwa tatu za mwanamke kuonewa huruma.
Ili watu waone jinsi ulivyo
 
Wewe experiences zako za kukosa upendo zisikufanye uwaaminishe watu kuwa hali halisi ni kuwa wanawake sio wa kuonewa huruma, hio sio maana ya hali halisi..unless hujui maana ya hali halisi...?

Eti wanawake wasio na dini, upupu!, dini ni nini? au hujui dini ni upendo?, utakua na dini usiwe na huruma??.....utakua mtu gani wewe..?
 
Embu nipe sababu Kubwa tatu za mwanamke kuonewa huruma.
Ili watu waone jinsi ulivyo
Hahaha usinitishe...eti waone jinsi nilivyo..hahaha

1...We deserve to be loved, kama nyinyi mnavyo deserve kuwa loved.

2..Jamii yenye Upendo inajengwa kwa kuoneana huruma, kwa hio lina faida sio kwenye ngazi ya individual bali hata society as a whole inafaidika kwa kuoneana huruma...

3, Ushajiuliza, kama na sisi tusingewaonea huruma, hii dunia ingekua safe place to live?; mwanamke katili dhidi ya mwanaume, mwanaume katili dhidi ya wanawake....

4.Sijui unaabudu nini,mizimu au miti, ila kwa wakiristu, tuliagizwa ' Mpendane'.....as i have loved you...

5.Upendo(kuoneana huruma), ina faida kiafya, especially kiakili...kaa na mtu ana ignore hisia zako, hakusaidii hata pale unapoona ana uwezo wa kufanya hivyo, kama hauta feel, sad, empty, depressed..unataka tujenge jamii ya watu wenye sononi?

..Nakusubiri mkuu...
 
Upendo mnastahili lakini sio huruma.

Wengi waliowaonea huruma yaliwapata makubwa.

Upendo ni Haki yenu,
Huruma sio haki kwenu au Kwa mwanaume,

Nakuuliza swali, Kwa jinsi Wanadamu wanavyopata tabu Duniani unafikiri Mungu hatupendi?

Tofautisha upendo na huruma
 
Eti nitofautishe Upendo na Huruma...hujitambui mkuu, haujui hivi ni vitu hauwezi kuvitenganisha?..

Kwa mfano; mimi labda ndio mkeo, sikuonei huruma na hisia zako,ukitoa pesa nazifuja labda napeleka kwa ndugu..wewe utafeel unapendwa hapo?!

.. huruma sio haki ya mwanaume wala mwanamke..?!, ndio maana nikasema unahitaji Deliverance, kuna roho ya kishetani ndani yako.... kila mtu angekua na msimamo huu..tungeishi humu duniani????

..I believe kwa post yako hii huamini katika Mungu kabisaa...mnampondaga tu Kiranga, ila wewe huamini Mungu yupo,lol, sababu umesema Mungu hatupendi ndio maana ameruhusu wanadamu tupate tabu, in other words umeweka hitimisho, kwa uwepo wa matatizo ya binadamu inamaanisha hakuna Mungu!...anyway..kifupi hii thread sio ya kidini, so tusiende deep sana kwenye dini tukatoka kwenye Focus, Mungu yupo, na shetani yupo....and these are 'trying times' kama wewe unaamini....
 
Eti nitofautishe Upendo na Huruma...hujitambui mkuu, haujui hivi ni vitu hauwezi kuvitenganisha?..

Kwa mfano; mimi labda ndio mkeo, sikuonei huruma na hisia zako,ukitoa pesa nazifuja labda napeleka kwa ndugu..wewe utafeel unapendwa hapo?!

.. huruma sio haki ya mwanaume au mwanamke..?!, ndio maana nikasema unahitaji Deliverance, kuna roho ya kishetani ndani yako.... kila mtu angekua na msimamo huu..tungeishi humu duniani????

..I believe kwa post yako hii huamini katika Mungu kabisaa...mnampondaga tu Kiranga, ila wewe huamini Mungu yupo,lol, sababu umesema Mungu hatupendi ndio maana ameruhusu wanadamu tupate tabu, in other words umeweka hitimisho, kwa uwepo wa matatizo ya binadamu inamaanisha hakuna Mungu!...anyway..kifupi hii thread sio ya kidini, so tusiende deep sana kwenye dini tukatoka kwenye Focus, Mungu yupo, na shetani yupo....and these are 'trying times' kama wewe unaamini....

Suala la kutumia pesa zangu vibaya ni Kutokana ya ukosefu wa upendo na huna akili ya Bajeti, na ubinafsi.

Huyo Mungu unayemuamini anakuonea huruma au hakuonei huruma na tabu zako?
 
USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.

Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.

Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.

Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.

Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.

Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.

Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.

Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.

Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.

Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.

Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.

Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.

Sina la ziada. Mwaka mpya mwema

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
Kma kweli iv embu ngoja nisome tena na tena!!

Maana wengine wasema maskin na mwanamke sio wa kuonewa uruma
 
Suala la kutumia pesa zangu vibaya ni Kutokana ya ukosefu wa upendo na huna akili ya Bajeti, na ubinafsi.

Huyo Mungu unayemuamini anakuonea huruma au hakuonei huruma na tabu zako?
....umeamua kuita tu nyeusi nyeupe, ubinafsi wa mwanamke unatoka wapi kama anakupenda?

...I was right,huamini Mungu yupo...nishakuambia topic ni kuonewa huruma wanawake na sio Kuhusu Mungu, tusitoke nje ya mstari please.
 
Wewe naona hatuelewani.

Umesema Wewe Kama Mke wangu ukaamua kufuja Mali aidha Kwa matumizi yako binafsi au kusaidia ndugu zako bila kunionea huruma, nikakuambia hapo hakuna huruma isipokuwa huna upendo wa Kweli.

Mwanamke anapaswa kupendwa lakini sio kuonewa huruma,

Mambo ya kuonea huruma wanawake ndio yamewafanya mzidi kuwa mashetani,
 
Hakuna huruma, it means hakuna upendo wa kweli, hakuna upendo wa kweli it means hakuna huruma, dont get confused brother!

Nimekuuliza unawezaje kumpenda mwanamke usimuonee huruma, how?? labda naweza kukusaidia...

Mashetani yalikuwepo tangia mwanzo wa dunia, sidhani kama ni hoja mkuu...
 
Nimekuambia, Hata Mungu anatupenda lakini hatuonei huruma ndio maana Kuna watu wanateseka kwenye hii Dunia na yupo anaangalia.

Upendo na huruma ni mambo mawili tofauti ambayo yanaweza kwenda pamoja kutegemeana na Muktadha,

Tena wanawake na watu wanaotafuta kuhurumiwa ndio wanatakiwa wasipewe hiyo huruma Kwa maana siku zote mtu apendaye huruma ni Mbaya.

Na siku zote watu wenye huruma hawatendi Haki,

Kwa mwanamke anastahili upendo tuu, na sio huruma.

Tena ninyi WA kizazi cha sasa hata huo upendo nao hampaswi kupewa Kwa sababu wengi wenu ni Washenzi tuu
 
Acha mambo ya dini, huyajui na huyaamini...

Upendo na huruma ni vitu ambavyo haviwezi kutenganishwa kamwe...nimekupa mfano,ila kwa kuwa kuwa uko biased/twisted umeamua kuupindisha to suit your purpose...

Show/fafanua mwanamke au mtu apendae huruma ni mbaya?!

Again, onyesha mtu mwenye huruma hatendi haki..labda naweza kukupanua...

Eti mwanamke anastahili upendo sio huruma, how umpende mtu usimuonee huruma? how?

Eti wa kizazi cha sasa ni washenzi tu, hao wa kizazi kilichopita...walikuwa wired differently?
 
Kizazi cha nyuma angalau walioweza kufuata Mila na desturi, maadili na sheria ila ninyi WA sasa ni upuuzi tuu.

Wanawake wachache Sana ndio wanasifa za kuitwa wanawake,

Wanawake WA sasa wengi ni waovu ndio maana nikasema Wasionewe huruma, na Hilo nitalilisitiza Sana.
 
Pole we, sisi ni product ya kizazi cha nyuma, kama walifuata maadili imekuwaje hawakutufundisha hayo Maadili??????..

Wanawake wachache ndio wana sifa ya kuitwa wanawake??????..ishu hapa ni kuwa mwanamke ana sifa ya kuwa mwanamke..au ishu ni mwanamke yeyote hafai kuonewa huruma????

Eti wake wa sasa ni waovu, uovu ulikuwepo tangia dunia inaumbwa!!, hakuna jipya ndani ya jua....uko soo confused na mambo mengi..mpaka unachosha!
 
Back
Top Bottom