Hujaprove nimekata tamaa...Nimegundua vitu vingi unanikwepa Robert...
Kampeni sipigi mimi, nataka kubadilisha mind set yako, ku decode confusion yako....
Eti kukalia ushetani, wewe unayehubiri watu wasioneane huruma nani shetani??????? unasema kabisa kuoneana huruma sio haki ya mwanaume wala mwanamke..halafu unajifanya kumcha Mungu this, kumcha Mungu that...stop that!
Siko hapa kuharibu kizazi cha mtu yeyote, stop writing nonsense, sana sana wewe ndio upo kuharibu ndoa,mahusiano ya watu kwa kumwaga 'sumu' zako!
Nipo hapa kuponya ndoa za watu ikiwepo yako pia.
Mimi ni mtu nisiyependa upuuzi Kwa kisingizio chochote,
One mistake a hundred goals"
Kwa hiyo unataka nishauri kuwa mke au mume akisaliti ndoa yake aonewe huruma(asamehewa)? Msamaha sio rahisi kiasi Hiko na Msamaha uliorahisi hauna toba ya kweli, na umejengwa kwenye unafiki.
Ndoa ili zikae vizuri kila mtu afanye wajibu wake, na wajibu mtu akifanya hapaswi kuonewa huruma Kwa sababu ni wajibu.
Huruma ni Neema wala sio lazima,
Upendo ni Haki hivyo ni lazima na ndio maana ni amri, sijui kama unaelewa.
Ukisikia mtu amekusaidia au amekusamehe jua kakutendea Neema tuu ambayo sio haki yako,
Msimamo wangu ambao wewe utauona nipo confused ni kuwa watu wawe wakamilifu kila mmoja Kwa nafasi yake, masuala ya kuoneana Huruma kimsingi Kwa kizazi cha sasa ni upuuzi unaowagharimu wengi.
Nakupa mfano,
Mwanamke hapaswi kuonewa huruma Mpenzi wake ambaye Hana kazi, Ila anapaswa amshinikize atafute kazi,
Huruma nyingi ya mwanadamu imekaa kiovu, kuvunja amri na sheria za Mungu,
Hutokuja kunielewa