Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Si kweli, si nature ya mwanaume au mwanamke kutoonewa huruma, no, it keeps our mind/heads in check..wewe umechoka mkeo akikupa pole,hufarijiki?!

Kutorudisha fadhila kusikufanye uamini, kuwa wanawake ni wabinafsi as kuna wanawake kibao tu wanarudisha fadhila...kisha, sidhani kama ni jukumu lako tena kurudishiwa fadhila unapotoa...wewe toa tu..lol...

Mahusiano mazuri katika jamii, yanajengewa kwa kuoneana huruma, na sio wanawake wasionewe huruma kama mnavyotaka kutuaminisha katika mada hii...

Kufanya wajibu wako ni kumuonea mtu huruma?😀😀😀

Ni Sawa mumeo anakuhudumia Kwa kukuvisha nguo nzuri ATI aseme anakuonea huruma,

Ndio maana nikakuambia Tafuta maana ya huruma ndio uje hapa.
Hiyo inaitwa Kujali na kuthamini.
 
Mimi nakula maisha, Shetani kwangu ninamtumia kama viumbe wengine, kuku, Bata, Mbuzi, n.k.

Kwa watu waovu kiumbe Shetani namtumia kuwaadhibu vilivyo, Kwa vile namtumia najua yukoje na anafanyaje kazi.

Ndio maana hitimisho langu nikasema usimuonee huruma Mwanamke

Good for you kama unamtumia shetani, kama unavyotumia kuku,mbuzi, n.k ila kazi yako aliyokutuma ku preach humu mwambie ime bounce!
 
Kufanya wajibu wako ni kumuonea mtu huruma?😀😀😀

Ni Sawa mumeo anakuhudumia Kwa kukuvisha nguo nzuri ATI aseme anakuonea huruma,

Ndio maana nikakuambia Tafuta maana ya huruma ndio uje hapa.
Hiyo inaitwa Kujali na kuthamini.

Nonsese!

Yaani umjali mtu,umthamini, halafu unasema humpendi, hujui usemalo...kama unafanya yote haya huu sio wajibu ni unafiki!

FYI unampenda mtu na ukimpenda mtu, unamjali na kumthamini,
 
Good for you kama unamtumia shetani, kama unavyotumia kuku,mbuzi, n.k ila kazi yako aliyokutama ku preach humu mwambie ime bounce!

Unatatizo la mantiki kwenye kipengele cha maana (semantic) ndio maana naandika hiki wewe unaandika kingine.
 
Si kweli, si nature ya mwanaume au mwanamke kutoonewa huruma, no, it keeps our mind/heads in check..wewe umechoka mkeo akikupa pole,hufarijiki?!

Kutorudisha fadhila kusikufanye uamini, kuwa wanawake ni wabinafsi as kuna wanawake kibao tu wanarudisha fadhila...kisha, sidhani kama ni jukumu lako tena kurudishiwa fadhila unapotoa...wewe toa tu..lol...

Mahusiano mazuri katika jamii, yanajengewa kwa kuoneana huruma, na sio wanawake wasionewe huruma kama mnavyotaka kutuaminisha katika mada hii...
Kunipa pole nikiwa nimetoka kazini? Pole ya kazi gani? Mwanaume akichoka anahitaji kupumzika na sio kuambiwa pole.

Kumpa mpenzi wangu kitu ni expression of love na sio mercy. Hapa ninakuwa natimiza majukumu yangu. Yeye anatakiwa kuleta heshima/submission.

Mtu anayeonewa huruma ni victim tu.
 
Nonsese!

Yaani umjali mtu,umthamini, halafu unasema humpendi, hujui usemalo...kama unafanya yote haya huu sio wajibu ni unafiki!

FYI unampenda mtu na ukimpenda mtu, unamjali na kumthamini,

🤣🤣🤣

Nisamehe Mkuu muda wote sijajua unatatizo la Kuelewa maana katika maneno,
Nimekuambia Mtu kutenda wajibu wako hiyo haiitwi huruma😀😀. Huo unaitwa Upendo na hapo ndipo unaposhindwa kuelewa.

Hiyo comment uliyoinukuu kumjali na kumthamini mtu haimaanishi humpendi, sijasema mambo ya Upendo hapo.

Ndio maana nikakuambia hujui kutofautisha Kati ya Upendo na Huruma.

Upendo ni Haki/lazoma
Huruma ni Neema/ hiyari

Wapi huelewi.

Kwenye hiyo Huruma ambayo ni hiyari kuna baadhi ya features Kama kujali na kuthamini ambazo zipo kwenye upendo pia, wapi huelewi Mkuu.
 
Kunipa pole nikiwa nimetoka kazini? Pole ya kazi gani? Mwanaume akichoka anahitaji kupumzika na sio kuambiwa pole.

Kumpa mpenzi wangu kitu ni expression of love na sio mercy. Hapa ninakuwa natimiza majukumu yangu. Yeye anatakiwa kuleta heshima/submission.

Mtu anayeonewa huruma ni victim tu.

Huyo hajui tofauti ya Upendo na huruma.

Kwa vile huruma Una some Features za upendo anafikiri upendo na huruma ni kitu kimoja.😀😀

Mwishowe aseme Kumtunza Mtoto wake ni huruma😀😀.
 
Huyo rebeca ni zao la ufeministi. Mtapata nae tabu na atawapotezea tu muda wenu mnapoendelea kujadiliana nae.Hayupo hapa kwa lengo la kuelewa ila yupo kwa lengo la kubishana.

Cha msingi ni kuwa ujumbe huu wa Robert umetufikia wanaume wengi na tumeshaanza kuufanyia kazi na kwa kweli tunaanza kuona matokeo na matunda yake.
 
Pitia posts zote, nimekuuliza vitu vingi, ukawa unanijibu vingine...

Tatizo unauliza vitu vya kitoto.

Sasa Kama hujui kuwa Upendo na huruma ni vitu viwili tofauti utaniuliza nini kwenye mada hii.

Unachanganya upendo na huruma wakati ni vitu viwili tofauti.

Nimekuambia Upendo ni haki/lazima.
Huruma ni Neema/hiyari.

Unaweza kumhurumia mtu hata kama humpendi
 
Huyo rebeca ni zao la ufeministi. Mtapata nae tabu na atawapotezea tu muda wenu mnapoendelea kujadiliana nae.Hayupo hapa kwa lengo la kuelewa ila yupo kwa lengo la kubishana.

Cha msingi ni kuwa ujumbe huu wa Robert umetufikia wanaume wengi na tumeshaanza kuufanyia kazi na kwa kweli tunaanza kuona matokeo na matunda yake.

Imagine mwanamke ati ukitoka Kazini akikuambia pole hiyo anaiita huruma😀😀 hiki ni kichekesho cha mwaka.

Hajui hata maana ya huruma, wajibu na upendo.

Mwanaume akivuja jasho Kwa ajili ya kutafuta riziki yake huo ni wajibu na wala hapaswi kuonewa huruma.

Na Mwanamke akizaa Kwa uchungu hapaswi kuonewa huruma, huo ni wajibu hapaswi kuonewa huruma.

Lakini wanawake wanachanganya mambo hayo.
 
Zile sifa Zote ambazo ni Sifa Mbaya kwa mwanadamu zinajidhihirisha waziwazi kwa Mwanamke.
Hata kama atakuambia ni shetani amempitia usikubali ila amini nakuambia ni yeye huyo, Ndo asili yake...

Wanaume Roho mbaya hufundishwa na Mwanamke.

Mwanamke haitaji mwalimu wa kumfundisha Roho mbaya...ni asili yake
Mwanamke anahitaji Mwanaume ili amfundishe Roho njema...

Hawa watu waliokua wanawapamba wanawake kwamba ni Malaika walimiss the point

God, or an angel has never manifested Himself as a woman!!

Majini na Mashetani engi ni ya kike .
😂😂😂😂 Hizo verse za mwisho umeua.
 
Nichanganyikiwe au ni wewe ndio umechanganyikiwa??..mbaya zaidi unataka kuchanganyikiwa kwako uwachanganye na wengine..

Mimi nakuomba uwasaidie watoto wako wasipende kuonewa huruma, Hilo ndilo naweza kukuachia Kwa leo.

Vinginevyo ukitaka mjadala na Mimi Kwanza, uwe umejirekebisha kwenye Suala la semantiki
 
Kunipa pole nikiwa nimetoka kazini? Pole ya kazi gani? Mwanaume akichoka anahitaji kupumzika na sio kuambiwa pole.

Kumpa mpenzi wangu kitu ni expression of love na sio mercy. Hapa ninakuwa natimiza majukumu yangu. Yeye anatakiwa kuleta heshima/submission.

Mtu anayeonewa huruma ni victim tu.

Hujaelewa, eti pole ya kazi gani, umechoka exhausted, ukipewa pole hautafeel renewed, a sense of purpose kuendelea kuwa determined as familia/mkeo anakujali???..au umechoka, unafeel mkeo ha appreciate efforts unazoweka kazini..utakuwa motivated,utampenda???...is what it keeps us in check,kama una undermine 'Pole' jaribu mtu anayekuignore, au anakutusi, badala ya Pole anakuambia shenzi wewe, halafu uone effect yake the next day unaamka...unaenda kazini?

Kumpa mpenzi wako kitu ni expression of love, i agree.. ila hii expression, sio wewe unaye interpret ni yule unayempa, sio jukumu lako kujua ame interpret vipi ni huruma au upendo, ingawa bado nastress hivi vitu ..huruma na upendo..huwezi kuvitenganisha...huwezi kumpa kitu,kama unaona haihitaji huruma yako..no..unafiki..

Heshima/submission...ndio hio hio huruma yenyewe, huwezi kunipa kitu bila huruma nisiseme asante, halafu uone nimekuheshimu....
 
Mimi nakuomba uwasaidie watoto wako wasipende kuonewa huruma, Hilo ndilo naweza kukuachia Kwa leo.

Vinginevyo ukitaka mjadala na Mimi Kwanza, uwe umejirekebisha kwenye Suala la semantiki
Chukua time, next time, acha kuleta sumu zako humu basing on your subjective experiences, kama ume surrender kwenye huu mjadala then ni kivyako huko, dont intimidate me, nitawafunisha wanangu upendo kujali wengine..sababu nataka wawe rounded persons wasione watu wengine ni mazimwi!..bye sucker!
 
Hujaelewa, eti pole ya kazi gani, umechoka exhausted, ukipewa pole hautafeel renewed, a sense of purpose kuendelea kuwa determined as familia/mkeo anakujali???..au umechoka, unafeel mkeo ha appreciate efforts unazoweka kazini..utakuwa motivated,utampenda???...is what it keeps in check,kama una undermine 'Pole' jaribu mtu anayekuignore, au anakutusi, badala ya Pole anakuambia shenzi wewe, halafu uone effect yake the next day unaamka...

Kumpa mpenzi wako kitu ni expression of love, i agree.. ila hii expression, sio wewe unaye interpret ni yule unayempa, sio jukumu lako kujua ame interpret vipi ni huruma au upendo, ingawa bado nastress hivi vitu ..huruma na upendo..huwezi kuvitenganisha...huwezi kumpa kitu,kama unaona haihitaji huruma yako..no..unafiki..

Heshima/submission...ndio hio hio huruma yenyewe, huwezi kunipa kitu bila huruma nisiseme asante, halafu uone nimekuheshimu....

😀😀😀

Yaani kumheshimu mtu na kumtii mtu iwe huruma😂😂 Hii Kali Dadaangu.

Mimi nafikiri ukanywe maji, ukaoge upumzike kisha jioni tutaendelea na mjadala.

Kwa hiyo ukimpa mtu pole Kwa akili yako hiyo ndio huruma?

Elewa mambo haya, wajibu, huruma na Upendo.

Zingatia Huruma ina-some Features za Upendo Kama kujali na kuthamini Ila mara nyingi hutokea Kwa Wahanga, wanaohitaji msaada au Msamaha.

Huruma inahusu zaidi Msamaha/forgiveness

Ndio maana nikakuambia pumzika kwanza
 
Back
Top Bottom