Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #461
Si kweli, si nature ya mwanaume au mwanamke kutoonewa huruma, no, it keeps our mind/heads in check..wewe umechoka mkeo akikupa pole,hufarijiki?!
Kutorudisha fadhila kusikufanye uamini, kuwa wanawake ni wabinafsi as kuna wanawake kibao tu wanarudisha fadhila...kisha, sidhani kama ni jukumu lako tena kurudishiwa fadhila unapotoa...wewe toa tu..lol...
Mahusiano mazuri katika jamii, yanajengewa kwa kuoneana huruma, na sio wanawake wasionewe huruma kama mnavyotaka kutuaminisha katika mada hii...
Kufanya wajibu wako ni kumuonea mtu huruma?😀😀😀
Ni Sawa mumeo anakuhudumia Kwa kukuvisha nguo nzuri ATI aseme anakuonea huruma,
Ndio maana nikakuambia Tafuta maana ya huruma ndio uje hapa.
Hiyo inaitwa Kujali na kuthamini.