Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Mtoa Uzi upo sahihi sana, hasa Mwanamke akikuacha akirudi tena akiomba Msamaha MSAMEHE kama Binadamu ila USIKUBALI USIKUBALI USIKUBALI kurudiaana nae hata alie vipi, hawa Viumbe acha kabisa #yashanikuta
 
Lete story mkuu, maana mama watoto anapambana nirudiane nae baada ya kuachika alipoolewa huko
 
Lete story mkuu, maana mama watoto anapambana nirudiane nae baada ya kuachika alipoolewa huko
Mara nyingi kurudi kwake sio kwa ajili ya mapenzi, ila hali ishakua tete..... utafanywa kitega uchumi hadi ujute, mpaka unakuja kustuka ushachelewa na hua wapole kweli kweli anajishusha hasa
 
Mkuu umeeleweka vema. Wanataka haki sana kwenye mteremko, wanajiita lady's first. Kubeba magunia au kwenda vitani kupigania nchi hawataki; bure kabisa!
 
Mara nyingi kurudi kwake sio kwa ajili ya mapenzi, ila hali ishakua tete..... utafanywa kitega uchumi hadi ujute, mpaka unakuja kustuka ushachelewa na hua wapole kweli kweli anajishusha hasa
Ndo anachofanya sasa, kawa mpole kweli kweli nawaza nimfanyie nini ili aache kunitafuta nakosa jibu
 
Kakaaaa hayo maigizo tu ukimkaribisha huyo utaanzisha uzi humu, kaza Moyo mchane kua huwezi kua nae tena..... narudia YASHANIKUTA MWENZAKOOOO
Nilishamwambia, aliniomba tuonane kwenda kumsikiliza manaanza kuniomba msamaha na kuniomba tufunge ndoa kabla ya Ramadhan kuanza
, nikamjibu, "kwa sasa sihitaji kuishi na mwanamke na hata kama itatokea nikahitaji nitamuoa mwanamke niliyenae" kisha nikaondoka
 
Simama na msimamo wako ukimkaribisha tena sidhani kama kuna mapenzi hapo
 
Doh!!cna la kuchangia kwenye ili kwakuwa nimechelewa.
"Ucmuonee huruma mwanamke'Ni maneno niliyokuwa nayackia kila cku ila ckuyajua kabisa umuhim wake.
Ila sasa nimeyajua.Nami naludia kusema tena ucmuonee huruma mwanamke.
Wamekufanyaje mkuu,funguka hapa tupate funzo na sisi.
 
Tuliishashtuka kitambo sana mkuu
Mwizukulu Mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwiiiiiiiiiiiiizukuru mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sitosahau,jamaa yangu alifumania massage ya kimapenzi kwa mkewake wa ndoa,Alivomuuliza juu ya nini kinaedelea mwanamke kachukia mpaka kumwagia mmewake maji ya moto,Hawa viumbe sio
Duuuh maji ya moto??
 
Sitosahau,jamaa yangu alifumania massage ya kimapenzi kwa mkewake wa ndoa,Alivomuuliza juu ya nini kinaedelea mwanamke kachukia mpaka kumwagia mmewake maji ya moto,Hawa viumbe sio
Duh maji ya moto?
 
Back
Top Bottom