Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Ipo wazi hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili nyingi na roho katili mithili ya hamza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitahidi sana kujieleza ila hueleweki mkuu.Siku zote mwenye mindset ya kuwa ananyanyaswa kwenye relationship ni mwanamke. Kama mwanamme akinyanyasea mara nyingi njia rahisi ni kujitenga na kutafuta maisha kwingine, kwao ni rahisi sana na cases za namna hiyo ni chache sana. Lakini mleta Uzi anaushauri umma wa wanaume uwachukie wanawake, usiwaonee huruma. By extension anaushauri umma wa wanaume uwatese wanawake wakiipata hiyo fursa, hiyo kwangu ndio jambo la kijinga. Kweli unakosa njia hata moja au mbili ya njia maelefu ya kumthibiti mwanamke mpaka uje kulialia kwenye jukwaa la JF hapa. Hatuwezi kuishi bila wanawake katika hali ya kawaida. Kiukweli utaleta balaa wanawake kuwapo. Sasa Habari gani kuwa na wanawake wanaoishi wakijua maadui zao ni wanaume na wako hapo kuwamali. Ni wazo la kijinga sana.
Haeleweki huyo, Heriel amesema vyema kabisa, hajamanisha tuwatendee uovu/ukatili amesema tusiwaonee Huruma.Unajitahidi sana kujieleza ila hueleweki mkuu.
hamuwezi kuelewa. Pambaneni na hali yenuHaeleweki huyo, Heriel amesema vyema kabisa, hajamanisha tuwatendee uovu/ukatili amesema tusiwaonee Huruma.
Mleta mada hujamuelewa mkuuUmepuyanga sana bila kufafanuwa usimuonee huruma mwanamke kivipi?
Visa vingi mnavyotendewa na wanawake mara nyingi ni matokeo ya wivu wa kupitiliza na kutojiamini kwao.
Mimi nina watoto wakubwa na ni binti ambaye yungali mdogo ndio namuona will take care me kuliko makaka zake ambao kazi yao itakuwa kujipendekeza kwa wakwe zao na kumjari mama yao zaidi.
Nimestudy kwa muda mrefu mtoto wa kike ana faida kwa Baba kuliko mtoto wa kiume, sasa hapa unapohubiri tusiwaonee huruma wanawake wakati wao ndio wana huruma zaidi siwezi kukuelewa.
Nimekutana sana na visa vya wanawake lakini havihalalishi kusupport hoja yako, labda mimi naweza kukubaliana na Biblia tuishi nao kwa akili.
Ukiwa na mwanamke hesabu kama upo kwenye mchezo wa chase, mvhezo wa chase unahitaji matumizi ya akili kwa muda wote wa mchezo.
Ukiishi na mwanamke kwa akili wala hutopata stress ingawa changamoto ndio ubinadamu wenyewe.
Unachopaswa siyo kumuonea huruma bali timiza majukumu yako ya kiume naye ajisikie yupo na mwanaume kamili.
😁😁😁😁Mtoa mada Punde TU baada ya wanawake wenyewe kuwasili.....[emoji1787]View attachment 2062619
Sent using Jamii Forums mobile app
Na asilimia kubwa ya wanawake upenda wanaume wanaoonyesha ubabe kwao.Nimekuelewa sana mkuu
Inawezkana nimekuelewa zaidi ya wewe uliyeandika namna ambavyo umeelewa
Mwanamke si wakuonewa huruma
Mada well discussed wa kujifunza wamejifunza, wanaume wengi wanahisi wapo safe yanapowakuta wengi hawawezi kukubaliana na ukweli.
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
KUMBEE!![emoji848] NDO MAANA ZAMANI WANAUME NDIO WALIOKUWA WANAKULA VITU VIZURI KWA KUWADANGANYA WANAWAKE WATAPATA MATATIZO KIAFYA.Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
Ni kweli kabisa,ZAMANI wanawake walikuwa hawaonewi huruma na Babu zetuu.Babu zetu waliishi kifalume saana.Mambo mazuri mazuri Yote mwanamke alikuwa anamfanyia mwanaume Lakini Kwa Sasa imegeuka mwanamke ndiye anae taka kufanyiwa mambo mazuri.Naam Mkuu