Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Siku zote mwenye mindset ya kuwa ananyanyaswa kwenye relationship ni mwanamke. Kama mwanamme akinyanyasea mara nyingi njia rahisi ni kujitenga na kutafuta maisha kwingine, kwao ni rahisi sana na cases za namna hiyo ni chache sana. Lakini mleta Uzi anaushauri umma wa wanaume uwachukie wanawake, usiwaonee huruma. By extension anaushauri umma wa wanaume uwatese wanawake wakiipata hiyo fursa, hiyo kwangu ndio jambo la kijinga. Kweli unakosa njia hata moja au mbili ya njia maelefu ya kumthibiti mwanamke mpaka uje kulialia kwenye jukwaa la JF hapa. Hatuwezi kuishi bila wanawake katika hali ya kawaida. Kiukweli utaleta balaa wanawake kuwapo. Sasa Habari gani kuwa na wanawake wanaoishi wakijua maadui zao ni wanaume na wako hapo kuwamali. Ni wazo la kijinga sana.
Unajitahidi sana kujieleza ila hueleweki mkuu.
 
Umepuyanga sana bila kufafanuwa usimuonee huruma mwanamke kivipi?

Visa vingi mnavyotendewa na wanawake mara nyingi ni matokeo ya wivu wa kupitiliza na kutojiamini kwao.

Mimi nina watoto wakubwa na ni binti ambaye yungali mdogo ndio namuona will take care me kuliko makaka zake ambao kazi yao itakuwa kujipendekeza kwa wakwe zao na kumjari mama yao zaidi.

Nimestudy kwa muda mrefu mtoto wa kike ana faida kwa Baba kuliko mtoto wa kiume, sasa hapa unapohubiri tusiwaonee huruma wanawake wakati wao ndio wana huruma zaidi siwezi kukuelewa.

Nimekutana sana na visa vya wanawake lakini havihalalishi kusupport hoja yako, labda mimi naweza kukubaliana na Biblia tuishi nao kwa akili.

Ukiwa na mwanamke hesabu kama upo kwenye mchezo wa chase, mvhezo wa chase unahitaji matumizi ya akili kwa muda wote wa mchezo.

Ukiishi na mwanamke kwa akili wala hutopata stress ingawa changamoto ndio ubinadamu wenyewe.

Unachopaswa siyo kumuonea huruma bali timiza majukumu yako ya kiume naye ajisikie yupo na mwanaume kamili.
Mleta mada hujamuelewa mkuu
 
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
 
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
KUMBEE!![emoji848] NDO MAANA ZAMANI WANAUME NDIO WALIOKUWA WANAKULA VITU VIZURI KWA KUWADANGANYA WANAWAKE WATAPATA MATATIZO KIAFYA.

MFANO;KUTOKULA MAYAI,NYAMA YA KUKU MAPAJA YALIKUWA YA MWANAUME NA SEHEMU NYINGINE ZILIZO NONA ,CHAKULA CHA KUTOSHA KWENYE SAHANI YA PEKEE YAKE(mwanaume) n.k
 
Naam Mkuu
Ni kweli kabisa,ZAMANI wanawake walikuwa hawaonewi huruma na Babu zetuu.Babu zetu waliishi kifalume saana.Mambo mazuri mazuri Yote mwanamke alikuwa anamfanyia mwanaume Lakini Kwa Sasa imegeuka mwanamke ndiye anae taka kufanyiwa mambo mazuri.

Nakazia,kama Sio Mama yako,Usimuonee hurumaa Mwanamke yoyote.
 
Hapa binaadamu asilaumiwe sana na hata ukisema unamlaumu M/Mungu haitokuwa na maana yeyote palee aliposema.. mwanamke ametoka katika ubavu dhaifu wa mwanaume au aliposema kuwa M/Mungu yeye ni BABA yaani asili yake UUME.. hapa wanaume na wanawake hawakuelewa huu mstari kutoka kwenye baadhi ya vitabu vya dini vinavyoaminika.. WANAUME wanajidumisha,jifaharisha na kujiona wao ndio kila kitu.. na WANAWAKE wanajidhalau, kujinyongesha kujiona hawana chochote popote.. hakuna wa kulaumiwa hapa.. ila kuna baadhi ya vichwa vinajiona kama unyayo/nyayo
 
Back
Top Bottom