Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

wewe ni mpuuzi sana.yawezekana una asili za kike.sisi wanaume hatuna ukatili wa namna hiyo.na hii ni tangu enzi za adamu na mpaka sasa.wanaume sisi ni wavumilivu,tunayabeba yote mabaya,machungu,kwa nini sisi ndio chanzo cha uhai.Hivyo sisi tunahuruma sana.sasa kwa hiyo tabia uliyo nayo wewe utakuwa unaasili ya udada ila hajielewe
Asante feminist katika ubora wako!!
 
wewe ni mpuuzi sana.yawezekana una asili za kike.sisi wanaume hatuna ukatili wa namna hiyo.na hii ni tangu enzi za adamu na mpaka sasa.wanaume sisi ni wavumilivu,tunayabeba yote mabaya,machungu,kwa nini sisi ndio chanzo cha uhai.Hivyo sisi tunahuruma sana.sasa kwa hiyo tabia uliyo nayo wewe utakuwa unaasili ya udada ila hajielewe
Ww ndo chizi, sema ngoja tukusamehe na upumbavu wako.
 
[emoji1485] As a man pambana mwenyewe katika kila situation, usitegemee msaada kutoka kwa yoyote labda msaada ujitokeze wenyewe

[emoji1485]Do no favor to anyone

[emoji1485]Kuwa wa mwisho katika maamuzi yanayokuhusu

[emoji1485]Kuwa tayari kumpoteza mwanamke yoyote
[emoji1485]Usilaumu chochote kinachokutokea, funga mkanda songa mbele

Naomba kwa leo niishie hapa
Nakubali [emoji109]
 
👉🏾 As a man pambana mwenyewe katika kila situation, usitegemee msaada kutoka kwa yoyote labda msaada ujitokeze wenyewe

👉🏾Do no favor to anyone

👉🏾Kuwa wa mwisho katika maamuzi yanayokuhusu

👉🏾Kuwa tayari kumpoteza mwanamke yoyote
👉🏾Usilaumu chochote kinachokutokea, funga mkanda songa mbele

Naomba kwa leo niishie hapa
Hapo kwenye kumpoteza ndio sijaelewa, yani kama kwenye awamu ya tano au?
 
Back
Top Bottom