Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #621
hata sisi wanaume tuna machafu yetu upande mwingine wa shillingi.Unakuta mtu ana watoto watano wote kila mmoja ana mama yake na hatunzi watoto anazaa kama sungura huyu utamuitaje? Umalaya ni tabia ya mtu hata wanaume ni malaya
Nenda Kwa Baba yako ukamuulize mwanaume anaweza kuwa Malaya?
Maana vitoto vya siku hizi hata havielewi hata kile vinachozungumza.
Ni kizazi kilichoshindwa karibu kila kitu