Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

hata sisi wanaume tuna machafu yetu upande mwingine wa shillingi.Unakuta mtu ana watoto watano wote kila mmoja ana mama yake na hatunzi watoto anazaa kama sungura huyu utamuitaje? Umalaya ni tabia ya mtu hata wanaume ni malaya

Nenda Kwa Baba yako ukamuulize mwanaume anaweza kuwa Malaya?

Maana vitoto vya siku hizi hata havielewi hata kile vinachozungumza.
Ni kizazi kilichoshindwa karibu kila kitu
 
wewe ni mpuuzi sana.yawezekana una asili za kike.sisi wanaume hatuna ukatili wa namna hiyo.na hii ni tangu enzi za adamu na mpaka sasa.wanaume sisi ni wavumilivu,tunayabeba yote mabaya,machungu,kwa nini sisi ndio chanzo cha uhai.Hivyo sisi tunahuruma sana.sasa kwa hiyo tabia uliyo nayo wewe utakuwa unaasili ya udada ila hajielewe
Utakua na mabinti wengi sana mkuu
 
Mleta mada ni mwanaume nimekufuatilia sana Unaandika sana kuhusu wanawake!!! Sio wanaume wenzio!!! Kulikoni ?

Wataalamu wa saikolojia na utabibu husema kuwa wanaume wengi wanaopenda sana kuvaa kiike,au kuwasema sana wanawake wengi huwa ni mashoga Kwa mujibu wa tafiti zao.Sijui kwa upande wako wewe
Mafeminist kwa kutishia ushoga hamjambo [emoji23][emoji23] kwanini kila mtu atakae enda kinyume na wanawake lazima awe shoga .....shoga ni rafiki mkuu wa wanawake kushinda wanaume
 
Mafeminist kwa kutishia ushoga hamjambo [emoji23][emoji23] kwanini kila mtu atakae enda kinyume na wanawake lazima awe shoga .....shoga ni rafiki mkuu wa wanawake kushinda wanaume
Wakoswa akili hao
 
Mama yako wakati unazaliwa angebana yale mapaja yake usingekuwepo ukaandika mada hii hapa shukuru sana mungu wako.
Mungu alivyotuumba ametuumba tofauti kati ya wanawake na wanaume kimaumbile na hata kitabia kwa sababu zake maalum.
Tukija kwenye imani
1.Angalia issue ya Adam na Hawa
2.Angalia issue ya Ibrahim,Sara na yule kijakazi
3.Angalia issue ya Esau na Yakobo mmoja alikuwa muwindaji ambaye ni Esau na mmoja alikuwa ni mkaa nyumbani tu ambaye ni Yakobo.Wakati baba yao anatoa baraka mama yake Yakobo akatengeneza dili akamuambia mwanaye avae ngozi ya kondoo aonekane ana manyoya mzee Baraka zote kamimina kwa asiye husika yule muhusika kaja na windo lake ampe baba yake kakuta issue imeshamalizika baraka keshatoa matokeo yake baba badala ya kumpa Baraka akamlaani.Dill la mwanamke hilo
4.Angalia issue ya Delila na Samsoni

Mungu ana makusudi kwa kila jambo na ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili ila sio kuwaona sio viumbe wa kuamini kwa asilimia 100%.Mwanamke akiamua kukurudisha mbinguni kwa baba yako either kwa siku hiyo hiyo au hata kama ni taratibu labda mwaka mmoja ni kitu cha sekunde.

Narudia tena tusiwasakame kiasi hiki kumbuka ndio walitubeba miezi tisa.
Nahisi mtoa mada kuna mahali amepata pigo flani pole sana
"Mwanamke akiamua kukurudisha mbinguni kwa baba yako either kwa siku hiyo hiyo au hata kama ni taratibu labda mwaka mmoja ni kitu cha sekunde"

Maneno yako hayo yanaonesha we' mzee una mawazo ya kibwege sana(sorry),una utaahira mwingi(sorry)

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mafeminist kwa kutishia ushoga hamjambo [emoji23][emoji23] kwanini kila mtu atakae enda kinyume na wanawake lazima awe shoga .....shoga ni rafiki mkuu wa wanawake kushinda wanaume
Labda amekasirika amemchafulia ugali wake. Wanawake ni pasua kichwa ukisha kaa nao zaidi ya mwezi mfululizo. Ndio maana humu ndani tunashauriana tusioe, tuendelee kuchakata tu na kuwaacha wawe masingle maza.
 
Aiseeee [emoji26][emoji26][emoji26]wanawake tuna msalaba jmn Leo Tu kuna dada kafariki kwa uzazi kaacha katoto kachanga afu watoto wenywe tunaozaa ndo nyie mnakuja kutunanga na kutudhalilisha duh hii dunia kweli sio yetu[emoji30][emoji30][emoji30]asante mtoa Mada [emoji24][emoji24]!!

Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu alikutuma mtuzae hakuna mtu aliandikia barua wazazi wamzae , tumezaliwa tu wengne hata hatukutaka , Acha laana uchwara mama ,wanawake sio wa kuhurumiwa hasa hawa wa kizazi hiki cha kondom
 
Aiseeee [emoji26][emoji26][emoji26]wanawake tuna msalaba jmn Leo Tu kuna dada kafariki kwa uzazi kaacha katoto kachanga afu watoto wenywe tunaozaa ndo nyie mnakuja kutunanga na kutudhalilisha duh hii dunia kweli sio yetu[emoji30][emoji30][emoji30]asante mtoa Mada [emoji24][emoji24]!!

Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
Hatuwanangi Mama zetu bali tunawananga wanawake ambao tuna uwezo wa kuwalala

Ni wa hovyo sana kutokana na yale mnayotutendea
 
Mleta mada ni mwanaume nimekufuatilia sana Unaandika sana kuhusu wanawake!!! Sio wanaume wenzio!!! Kulikoni ?

Wataalamu wa saikolojia na utabibu husema kuwa wanaume wengi wanaopenda sana kuvaa kiike,au kuwasema sana wanawake wengi huwa ni mashoga Kwa mujibu wa tafiti zao.Sijui kwa upande wako wewe
Kuwa na adabu
 
Mke wa mtu lkn nashangaa kama Mimi kanifanyia hivi huyo mumewe hatakuwa na uhai wa Muda mrefu hata kidogo. Nimesikitika sana.

Baada ya ku break amepatwa na roho ya ajabu huwez dhania
 
Tuishi nao kwa akili,usiishi na mwamke kwa kutumia hisia zako TUMIA AKILI,ukitumia hisia utaishia kuumia,kuugua na hatimaye kifo.Usiangalie uzuri wa sura yake,na unyororo wa sauti yake na kukosa kwake nguvu ukafikiri na moyo wake uko hivyo,don't underestimate the power of a woman(wanasema usimchukulie poa kiviile).NA kama unataka kuishi naye kwa raha,amani na starehe mshike sana Mungu na umuombe sana akupe hekima ya kuishi naye,hutakaa ujutie kuishi naye hata siku moja...
 
"Mwanamke akiamua kukurudisha mbinguni kwa baba yako either kwa siku hiyo hiyo au hata kama ni taratibu labda mwaka mmoja ni kitu cha sekunde"

Maneno yako hayo yanaonesha we' mzee una mawazo ya kibwege sana(sorry),una utaahira mwingi(sorry)

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app

[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom