Usimuonee huruma Mwanamke

hata sisi wanaume tuna machafu yetu upande mwingine wa shillingi.Unakuta mtu ana watoto watano wote kila mmoja ana mama yake na hatunzi watoto anazaa kama sungura huyu utamuitaje? Umalaya ni tabia ya mtu hata wanaume ni malaya


Nenda Kwa Baba yako ukamuulize mwanaume anaweza kuwa Malaya?

Maana vitoto vya siku hizi hata havielewi hata kile vinachozungumza.
Ni kizazi kilichoshindwa karibu kila kitu
 
Utakua na mabinti wengi sana mkuu
 
Mafeminist kwa kutishia ushoga hamjambo [emoji23][emoji23] kwanini kila mtu atakae enda kinyume na wanawake lazima awe shoga .....shoga ni rafiki mkuu wa wanawake kushinda wanaume
 
Mafeminist kwa kutishia ushoga hamjambo [emoji23][emoji23] kwanini kila mtu atakae enda kinyume na wanawake lazima awe shoga .....shoga ni rafiki mkuu wa wanawake kushinda wanaume
Wakoswa akili hao
 
"Mwanamke akiamua kukurudisha mbinguni kwa baba yako either kwa siku hiyo hiyo au hata kama ni taratibu labda mwaka mmoja ni kitu cha sekunde"

Maneno yako hayo yanaonesha we' mzee una mawazo ya kibwege sana(sorry),una utaahira mwingi(sorry)


Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mafeminist kwa kutishia ushoga hamjambo [emoji23][emoji23] kwanini kila mtu atakae enda kinyume na wanawake lazima awe shoga .....shoga ni rafiki mkuu wa wanawake kushinda wanaume
Labda amekasirika amemchafulia ugali wake. Wanawake ni pasua kichwa ukisha kaa nao zaidi ya mwezi mfululizo. Ndio maana humu ndani tunashauriana tusioe, tuendelee kuchakata tu na kuwaacha wawe masingle maza.
 
Kuna mtu alikutuma mtuzae hakuna mtu aliandikia barua wazazi wamzae , tumezaliwa tu wengne hata hatukutaka , Acha laana uchwara mama ,wanawake sio wa kuhurumiwa hasa hawa wa kizazi hiki cha kondom
 
Hatuwanangi Mama zetu bali tunawananga wanawake ambao tuna uwezo wa kuwalala

Ni wa hovyo sana kutokana na yale mnayotutendea
 
Kuwa na adabu
 
Mke wa mtu lkn nashangaa kama Mimi kanifanyia hivi huyo mumewe hatakuwa na uhai wa Muda mrefu hata kidogo. Nimesikitika sana.

Baada ya ku break amepatwa na roho ya ajabu huwez dhania
 
Tuishi nao kwa akili,usiishi na mwamke kwa kutumia hisia zako TUMIA AKILI,ukitumia hisia utaishia kuumia,kuugua na hatimaye kifo.Usiangalie uzuri wa sura yake,na unyororo wa sauti yake na kukosa kwake nguvu ukafikiri na moyo wake uko hivyo,don't underestimate the power of a woman(wanasema usimchukulie poa kiviile).NA kama unataka kuishi naye kwa raha,amani na starehe mshike sana Mungu na umuombe sana akupe hekima ya kuishi naye,hutakaa ujutie kuishi naye hata siku moja...
 

[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…