Usimuonee huruma Mwanamke

Mawazo yaliyokufa kabisa haya yanayoonyesha wewe na wanaokuunga mkono mlivyofilisika kabisa kimawazo, kimaadili na kiuanaume. Ninyi ni watu waoga, msiojiamini mnaowaogopa wanawake kuwa watawazidi na crusade yenu hii ya kijinga sana mnafikiri itawasaidia kusubdue nature inayoitwa mwanamke. Umeshindaje kuhandle mwanamke huko akakuzidi akili ukashindwa kabisa na hoja na accomplishments zake ukaona linalofaa ni kuwaostracize wanawake as if hawana role kabisa kwenye humanity. Ni wazi kuwa Kuna wanawake wamekufunika mahali na ndio maana unawaanzishia vita ya kijinga kuwahi kutokea. Mimi siwezi kusympathize na watu wajinga hivi eti kwa sababu tu ni mwanamme. Tunachofanya ni kushughulika na makovu yetu yanayaoitwa wanawake sio kuyatonesha upya. Man up!
 
Sioni kama kuna haja ya kumshambulia mtoa mada, ametoa maoni yako na wewe toa ya kwako.
 
Hii pesa kadri inavyopotea ndio yanazuka Mambo..akili na vitendo vya ajabu ajabu!
 
Bila shaka umeangalia zile video za kujichomeka machupa ya vinywaji kwenye mbunye zao! Imenifanya niwadharau sana hawa wenzetu, hawana akili kabisa
Hiyo hoja haitoshi, hata wanaume nao wanatumia sabuni na mikono yao. Wanawake wana matatizo yao ambayo kwa kweli wanaume tunapaswa kuishi nao kwa akili laa sivyo tutaangamia, lakini tatizo la umalaya na punyeto ni la jinsia zote, shida ni kale la video kusambaa na si kingine
 
Mkuu umenena vema.
 
Kwa kweli. Kuna mwanamke alikua na shida ya ada mtoto wake kafukuzwa shule. Kaja kwangu machozi yanamtoka. Nikamkopesha 1M toka mwezi March. Mpaka leo mwaka unaisha ananipiga tu kalenda. Daaaa wanawake
 
mwaka huu ulikua mgumu Sana kwangu nilijikuta namuonea huruma mwanamke wangu wa kwanza aliyenibikiri! amefiwa na mume wake na alikua Hana mbele Wala nyuma nkamsaidia bwana nkamfungulia genge duka nkampangishia nilichoishia kupata ni kulazwa police eti namfanyia fujo kwenye biashara yake
 
Wanawake Wana Mambo ya hovyo Sana.

Kuna mmoja hata nikimkuta anauliwa na Simba nammalizia
 

Bob anasema mwanamke ndiye chanzo cha uovu wote katika dunia hii, vile yeye ndiye wa kwanza kuileta dhambi duniani baada ya kula tunda walilo katazwa na Mungu​

Bob Marley & The Wailers - Adam And Eve​

The Lord named Adam and Eve
To live a happy life
In the garden of Eden
But they disobeyed

I wanna know, why they sin
In the garden of Eden
It's a devilman's affair
In the shape of a serpent

And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin
Any anywhere you go
Woman is the root of all evil
He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin

(..)

The Lord named Adam and Eve
To live a happy life
In the garden of Eden
But they disobeyed

I wanna know, why they sin
In the garden of Eden
It's a devilman's affair
In the shape of a serpent

And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin
Any anywhere you go
Woman is the root of all evil
He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…