Usimuonee huruma Mwanamke

We jamaa nakuonaga mara nyingi sana humu sina shaka kama huna vinasaba vya Aggrey ama Dulvani maana kwenye mada za malaya unajifanyaga mtetezi sana. Napata mashaka na washeli yako kama kweli bado itakuwa sealed!
 
Junior MafiaπŸ˜…
 
Usimuonee huruma mwanamke???muwe mnafikiria sn unaposema neno mwanamke huwezi kumuonea Huruma mama yako mzazi aliyekuzaa?maana naye ni mwanamke ,dada zako na shangazi zako je ,na binti zako je.tuache jeuri km Ni mapungufu Kila binadamu anayo Ni suala la kuvumiliana na kubebeana mapungufu tabia za wachache zisijumlishwe kwa wote
 
Timu wanaume mjue tu kuwa-:
MWANAMKE ANA SIFA ZOOOOTE Kiufupi KABEBA SIFA ZOOOTE DUNIANI.
-MBAYA
NZURI,
NYEPESI
NZITO,
UKARIMU
UKATILI
HURUMA
BUSARA
,UJINGA
,WEREVU
,UPUMBAVU,
UJASIRI
UOGA
DHARAU
HESHIMA
UONGO
UMBEYA
ROHO MBAYA
ROHO NZURI,
UPENDO
,UMOJA
MSHIKIMANO
USHIRIKINA
UADILIFU.
UPATANISHI
N:B HAKUNA KAMA MWANAMKE!!!!
Hizi ni baadhi tu ya sifa za mwanamke 1 tu.Ukimzingua tu lazima UIJUE DUNIA WEWE!!!
 
Mimi ninacho kijua mwanamke mzuri ni yule wa miaka 85 na kupandisha maana uyo ndo hanaga tamaa ya vitu tena

Ila hawa wa 84 na kushusha kimbia hawa watu wana tamaa vibaya saana ukiweka mitani nao utafilisika ki utani utani

Wasikudanganye kuwa eti tunatofauti akuna vya tofauti wote wana tamaa .wewe sema tu kinacho watofautisha ni mazingira tu
Kuna mmoja ana weza akawa mzuri mjini akifika vijijini ana geuka
Mwingine ana weza akawa mzuri vijijini kufika mjini akageuka ndivyo walivyo
Mara nyingi hawajui wanacho kitaka
Hawa sio wenzetu kabisa
Wewe jiulize ivi Mungu alivyo sema tufanye mtu kwa mfano wetu unafikiri nina ndo aliumbwa? Wa kwanza ni adamu
Sasa mwanamke alifanywa kwa mfano wa nani?
Jibu libaki akilini mwako
Ishi nao kwa akili sio kwa hisia utakuja kujuta badae
 
2021 huu mwaka umekuwa wa funzo kubwa sana ila out of topic wanaume tuandaliwe mpango wa kustaafu maana wazee wetu naona wanadhulumiwa sana.
Hawadhulumiwi mtu mkuu hilo ni MOJA YA MADHAIFU YA MWANAMUME!
 
nyie ni watu wa hovyo tu. zamani nilikuwa naonea huruma sana wanawake. kumbe nilikuwa rofa
 
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO
 
Mkuu ikiwa ulikutana na mwanamke aliyetendwa na akawa ayesha kata tamaa lazima AKUENDESHE NA KUKUFANYA UWACHUKIE WOOOTE
Chuki yangu imepelekewa na wadada wawili mwaka huu. Dada kanitongoza mwenyewe anadai katendwa huko alikokuwa. Nimekamua vizuri na kumjali. Kumbe mke wa mtu kanificha. sometimes nachat naye mpaka saa 6 usiku mumewe akiwepo. huu si unyama mkuu? je ningetatuliwa rinda ingekuweje?

wa pili hivyo hivyo,huyu sasa alizidi mpaka akanitegea mimba. kumbe kaolewa bwana ake anaishi mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…