First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Ndiyo tuwakate masikio tu maana tusipofanya hivyo watatuchomea ndani ya nyumba Kwa majibya moto na petroli..Kwa hyo tuendelee kuwakata masikio Kama hawataki kusikia
Kipi Bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo tuwakate masikio tu maana tusipofanya hivyo watatuchomea ndani ya nyumba Kwa majibya moto na petroli..Kwa hyo tuendelee kuwakata masikio Kama hawataki kusikia
Mtalea watoto tu kwa staili ipi akiwa kwao au mkiishi woteLakini ndoa zinatukuta kwa bahati mbaya Sana!sitokaa nifunge ndoa na mwanamke yeyote tutalea watoto tu!!!
We jamaa nakuonaga mara nyingi sana humu sina shaka kama huna vinasaba vya Aggrey ama Dulvani maana kwenye mada za malaya unajifanyaga mtetezi sana. Napata mashaka na washeli yako kama kweli bado itakuwa sealed!Mleta mada ni mwanaume nimekufuatilia sana Unaandika sana kuhusu wanawake!!! Sio wanaume wenzio!!! Kulikoni ?
Wataalamu wa saikolojia na utabibu husema kuwa wanaume wengi wanaopenda sana kuvaa kiike,au kuwasema sana wanawake wengi huwa ni mashoga Kwa mujibu wa tafiti zao.Sijui kwa upande wako wewe
Junior Mafia😅Kuna demu mmoja alikuwa analia& kujitia vihuruma kwangu kuwa hana hela ya Krismas,alisema atapika zake wali maharage siku ipite.Sikutuma hela nikamuahidi kumpelekea zawadi kesho geto kwake,siku ya boxing day jion nikafunga safari kumpelekea zawadi zake,nilijiongeza kidogo nikanunua zawadi neutral,anaweza kuzitumia hata mwanaume.Nikiwa njiani nlimtumia sms kuwa naenda kwake,nilipofika kwake nilimpigia kama mara mbili lakini hakupokea,kwa kuwa tulikuwa tunaishi karibu niliamua kujongea zangu geto kwangu nikiwa nimemaindi,zile zawadi nikajizawadia.Baadaye demu akanipigia akilalamikia zawadi zake na kusema kwamba muda nilipopiga alikuwa saluni.Niliamua kupotezea nikamwambia afate zawadi zake kwangu,akasema boy friend wake kamkataza kwenda mageto ya watu usiku.Nikamdanganya nina laki mbili cash mkononi kwa ajili yake,alikuja mbio nikala mzigo afu zile zawadi nilizificha,niliendea pedi za buku dukani,nikampiga swaga alipomaindi akazikubali akasepa.
Hawa wanawake unatakiwa kucheza Kama Pele.Hata ajilize vipi unatakiwa kutumia akili[emoji108]
Ukimnyanyasa mwanamke ujajani atapotezea ila malipo utapata UZEENI ukiwa umesahau uovu wako wa ujanani uliomtendeaMada nzuri! Ila kiukweli wanaume tujipange kuishi wenyewe pale unapozeeka. Hali sio hali
Uchumba sugu!Mtalea watoto tu kwa staili ipi akiwa kwao au mkiishi wote
Mkuu ukiipata ni fowadeiMkuu naomba ufanye pm hiyo Mambo sijaicheki
Mkuu HAWAELEWEKI KWA KUWA WANA SIFA ZOTE YAANI ZOOOOTEYaani nikijumlisha na matukio yao mengi nawaona watu waajabu mno.
Pamoja na yote hayo mwanamke anamfanyia mwanaume Mambo mabaya kupitia mwanaume mwingine.nadhani wanaume wachache wanafanya tuwaone wanawake wengi si watu wazuri
Hawadhulumiwi mtu mkuu hilo ni MOJA YA MADHAIFU YA MWANAMUME!2021 huu mwaka umekuwa wa funzo kubwa sana ila out of topic wanaume tuandaliwe mpango wa kustaafu maana wazee wetu naona wanadhulumiwa sana.
Hamdhulumiwi na mtu mkuu hilo ni MOJA YA MADHAIFU YA MWANAMUME2021 huu mwaka umekuwa wa funzo kubwa sana ila out of topic wanaume tuandaliwe mpango wa kustaafu maana wazee wetu naona wanadhulumiwa sana.
😂😂Toka uanze kuandika mauzi marefu leo ndio umeandika hoja kubwa sana. Saaafi
nyie ni watu wa hovyo tu. zamani nilikuwa naonea huruma sana wanawake. kumbe nilikuwa rofaAiseeee [emoji26][emoji26][emoji26]wanawake tuna msalaba jmn Leo Tu kuna dada kafariki kwa uzazi kaacha katoto kachanga afu watoto wenywe tunaozaa ndo nyie mnakuja kutunanga na kutudhalilisha duh hii dunia kweli sio yetu[emoji30][emoji30][emoji30]asante mtoa Mada [emoji24][emoji24]!!
Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKOUsimuonee huruma mwanamke???muwe mnafikiria sn unaposema neno mwanamke huwezi kumuonea Huruma mama yako mzazi aliyekuzaa?maana naye ni mwanamke ,dada zako na shangazi zako je ,na binti zako je.tuache jeuri km Ni mapungufu Kila binadamu anayo Ni suala la kuvumiliana na kubebeana mapungufu tabia za wachache zisijumlishwe kwa wote
Mkuu ikiwa ulikutana na mwanamke aliyetendwa na akawa ayesha kata tamaa lazima AKUENDESHE NA KUKUFANYA UWACHUKIE WOOOTEnyie ni watu wa hovyo tu. zamani nilikuwa naonea huruma sana wanawake. kumbe nilikuwa rofa
Chuki yangu imepelekewa na wadada wawili mwaka huu. Dada kanitongoza mwenyewe anadai katendwa huko alikokuwa. Nimekamua vizuri na kumjali. Kumbe mke wa mtu kanificha. sometimes nachat naye mpaka saa 6 usiku mumewe akiwepo. huu si unyama mkuu? je ningetatuliwa rinda ingekuweje?Mkuu ikiwa ulikutana na mwanamke aliyetendwa na akawa ayesha kata tamaa lazima AKUENDESHE NA KUKUFANYA UWACHUKIE WOOOTE