Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Umepuyanga sana bila kufafanuwa usimuonee huruma mwanamke kivipi?

Visa vingi mnavyotendewa na wanawake mara nyingi ni matokeo ya wivu wa kupitiliza na kutojiamini kwao.

Mimi nina watoto wakubwa na ni binti ambaye yungali mdogo ndio namuona will take care me kuliko makaka zake ambao kazi yao itakuwa kujipendekeza kwa wakwe zao na kumjari mama yao zaidi.

Nimestudy kwa muda mrefu mtoto wa kike ana faida kwa Baba kuliko mtoto wa kiume, sasa hapa unapohubiri tusiwaonee huruma wanawake wakati wao ndio wana huruma zaidi siwezi kukuelewa.

Nimekutana sana na visa vya wanawake lakini havihalalishi kusupport hoja yako, labda mimi naweza kukubaliana na Biblia tuishi nao kwa akili.

Ukiwa na mwanamke hesabu kama upo kwenye mchezo wa chase, mvhezo wa chase unahitaji matumizi ya akili kwa muda wote wa mchezo.

Ukiishi na mwanamke kwa akili wala hutopata stress ingawa changamoto ndio ubinadamu wenyewe.

Unachopaswa siyo kumuonea huruma bali timiza majukumu yako ya kiume naye ajisikie yupo na mwanaume kamili.
 
Chuki yangu imepelekewa na wadada wawili mwaka huu. Dada kanitongoza mwenyewe anadai katendwa huko alikokuwa. Nimekamua vizuri na kumjali. Kumbe mke wa mtu kanificha. sometimes nachat naye mpaka saa 6 usiku mumewe akiwepo. huu si unyama mkuu? je ningetatuliwa rinda ingekuweje?

wa pili hivyo hivyo,huyu sasa alizidi mpaka akanitegea mimba. kumbe kaolewa bwana ake anaishi mbali
Du pole sana mkuu. Hao wote wametendwa kwa namna moja au nyingine na Wenza wao
 
Chuki yangu imepelekewa na wadada wawili mwaka huu. Dada kanitongoza mwenyewe anadai katendwa huko alikokuwa. Nimekamua vizuri na kumjali. Kumbe mke wa mtu kanificha. sometimes nachat naye mpaka saa 6 usiku mumewe akiwepo. huu si unyama mkuu? je ningetatuliwa rinda ingekuweje?

wa pili hivyo hivyo,huyu sasa alizidi mpaka akanitegea mimba. kumbe kaolewa bwana ake anaishi mbali
Hizo ni weakness za kitengo chako cha ujasusi tu mkuu.

Halafu si kila aliyepo kwenye ndoa ni mke wa mtu, wengine walitaka tu hizo status kwa ajili ya vyeti, marupurupu kazini na uhamisho.

Hakuna ndoa ya mke kuficha kwamba hajaolewa hapo hakuna ndoa hata kama wanaishi pamoja.
 
Umepuyanga sana bila kufafanuwa usimuonee huruma mwanamke kivipi?

Visa vingi mnavyotendewa na wanawake mara nyingi ni matokeo ya wivu wa kupitiliza na kutojiamini kwao.

Mimi nina watoto wakubwa na ni binti ambaye yungali mdogo ndio namuona will take care me kuliko makaka zake ambao kazi yao itakuwa kujipendekeza kwa wakwe zao na kumjari mama yao zaidi.

Nimestudy kwa muda mrefu mtoto wa kike ana faida kwa Baba kuliko mtoto wa kiume, sasa hapa unapohubiri tusiwaonee huruma wanawake wakati wao ndio wana huruma zaidi siwezi kukuelewa.

Nimekutana sana na visa vya wanawake lakini havihalalishi kusupport hoja yako, labda mimi naweza kukubaliana na Biblia tuishi nao kwa akili.

Ukiwa na mwanamke hesabu kama upo kwenye mchezo wa chase, mvhezo wa chase unahitaji matumizi ya akili kwa muda wote wa mchezo.

Ukiishi na mwanamke kwa akili wala hutopata stress ingawa changamoto ndio ubinadamu wenyewe.

Unachopaswa siyo kumuonea huruma bali timiza majukumu yako ya kiume naye ajisikie yupo na mwanaume kamili.
Mkuu unawaelewa kwa kiasi fulani wanawake. Hongera kwa hilo
 
Hizo ni weakness za kitengo chako cha ujasusi tu mkuu.

Halafu si kila aliyepo kwenye ndoa ni mke wa mtu, wengine walitaka tu hizo status kwa ajili ya vyeti, marupurupu kazini na uhamisho.

Hakuna ndoa ya mke kuficha kwamba hajaolewa hapo hakuna ndoa hata kama wanaishi pamoja.
Huo ni ukweli dhahiri
 
Umepuyanga sana bila kufafanuwa usimuonee huruma mwanamke kivipi?

Visa vingi mnavyotendewa na wanawake mara nyingi ni matokeo ya wivu wa kupitiliza na kutojiamini kwao.

Mimi nina watoto wakubwa na ni binti ambaye yungali mdogo ndio namuona will take care me kuliko makaka zake ambao kazi yao itakuwa kujipendekeza kwa wakwe zao na kumjari mama yao zaidi.

Nimestudy kwa muda mrefu mtoto wa kike ana faida kwa Baba kuliko mtoto wa kiume, sasa hapa unapohubiri tusiwaonee huruma wanawake wakati wao ndio wana huruma zaidi siwezi kukuelewa.

Nimekutana sana na visa vya wanawake lakini havihalalishi kusupport hoja yako, labda mimi naweza kukubaliana na Biblia tuishi nao kwa akili.

Ukiwa na mwanamke hesabu kama upo kwenye mchezo wa chase, mvhezo wa chase unahitaji matumizi ya akili kwa muda wote wa mchezo.

Ukiishi na mwanamke kwa akili wala hutopata stress ingawa changamoto ndio ubinadamu wenyewe.

Unachopaswa siyo kumuonea huruma bali timiza majukumu yako ya kiume naye ajisikie yupo na mwanaume kamili.
Umesema vizuri,wanahitaji kutumia akili sana unapoishi nao,hasa wale waliokwisha kujeruhiwa kwa kutendwa,be very careful with them...
 
Kama unajihisi hutaweza kumpenda kwa dhati mwanamke Yaani mkuu ni bora ukabebelee chokoraa kuliko mwanamke mwenye majeraha ya kutendwa kwani atakuhesabia siku miezi na miaka tu ila lazima akutende zaidi ya alivyotendwa yeye
 
Umesema vizuri,wanahitaji kutumia akili sana unapoishi nao,hasa wale waliokwisha kujeruhiwa kwa kutendwa,be very careful with them...
Haijarishi amejeruhiwa au ndio anaanza, ishi kwa akili na mwanamke siku zote wakati wote.

Hapo ndipo unaweza kuishika akili yake na akakukusikiliza wewe ukimwambia kushoto ni kushoto, kulia ni kulia, hata mipango yake ya pesa, mshahara, mikopo, vicoba atakushirikisha na utajuwa income yake na atakuwa tayari kuchangia financial ndani ya nyumba.

Haya hayaji hivihivi bila kuyatengeneza wewe na kubwa zaidi kusiwepo na ushahidi wowote wa wewe kucheat, ukishindwa kuwa na mmoja, nunuwa wale malaya wanaojiuza mitandaoni au kwenye sehemu za starehe, wale mkiachana kila mtu na zake hawana kukupigia simu wala flriliting msg za usiku.

Ukiwa na mwanamke zaidi ya mmoja wa kugandana naye mwanamke anajuwa ila hakwambii na hapo ndio sahau kuona mchango wake financial kwenye maisha yenu au kukwambia kuna hiki na kile nina pesa pale kuna kiwanja nanunuwa twende ukawe shahidi yangu.

Hawa viumbe wana wivu siyo wa sayari hii, labda kama hajakupenda.

To short the whole story clean urself to her.
 
Kinachokosewa na wanaume ni UDHAIFU WAO katika kuto onesha kuwa wana cheat,
Mwanamke anahitaji uwazi huta ona wala kuijua rangi yake nyingine zaidi ya rangi ya lulu au dhahabu
 
Tunajiandaa kwa mwaka mpya, Tafadhali pitia hotuba iliyosomwa jana na Papa.

Bila kujali dini, ona jinsi Papa Francis ameandika kwa uzuri kuhusu familia.

FAMILIA, MAHALI PA MSAMAHA ...

©️ Hakuna familia kamili.
©️ Hatuna wazazi wakamilifu,
- wewe si mkamilifu mwenyewe.
.hatuoi mtu mkamilifu au hatuna watoto wakamilifu.

©️ Tuna malalamiko kutoka kwa kila mmoja. Hatuwezi kuishi pamoja bila kukoseana.

©️ Tunakatishwa tamaa kila wakati. Ndiyo kwa sababu nyingi kwa nyakati tofauti tunakatishwa tamaa na wenzetu.

.©️ Hakuna ndoa yenye afya njema au familia yenye afya bila zoezi la msamaha. Msamaha ni dawa ya furaha na furaha ya familia

©️ Msamaha ni muhimu kwa afya yetu ya kihisia na kuendelea kuishi kiroho. Bila kujali kosa au nani ni mkosaji. .bila msamaha, familia inakuwa uwanja wa migogoro na ngome ya uovu.

©️ Bila msamaha, familia inakuwa mgonjwa na mbaya.

©️ Msamaha ni asepsis ya nafsi, utakaso wa roho na ukombozi wa moyo. Hakuna dhambi iliyo kubwa sana kusamehewa.
.Asiyesamehe hana amani katika nafsi yake na hawezi kuwa na ushirika na Mungu.

©️ Kutosamehe ni Ubaya na sumu inayolevya na kumuua mwenye kukataa kusamehe

©️ Kuweka maumivu ya moyo ya kutosamehe ndani ya moyo wako ni ishara ya kujiangamiza. Ni autophagy.

.©️ Wale wasiosamehe ni wagonjwa kimwili, kihisia na kiroho. Na watateseka kwa njia mbili

Kwa sababu hii, familia lazima iwe mahali pa kuishi na sio mahali pa kifo; mahali pa msamaha,
mahali pa paradiso na si mahali pa kuzimu; Eneo la uponyaji na sio ugonjwa;
.mafunzo ya kusamehe na sio hatia.
Msamaha huleta furaha pale ambapo huzuni imeleta huzuni; ya
Uponyaji ambapo huzuni imesababisha magonjwa.

Familia ni mahali pa kutegemezana na si pa porojo na kashfa za wenzetu. Ni lazima pawe mahali pa kukaribishwa na sio mahali pa kukataliwa. .aibu kwa wale wanaopanda mabaya juu ya wengine. Sisi ni familia na sio maadui.

Wakati mtu yeyote anapitia changamoto anachohitaji ni msaada.

¤ Na Papa Francisco

Tafadhali tuma kwa familia zote unazozijua. Hii inaweza kusaidia kuponya baadhi ya majeraha ya familia na kutatua baadhi ya vita!.
 
We jamaa nakuonaga mara nyingi sana humu sina shaka kama huna vinasaba vya Aggrey ama Dulvani maana kwenye mada za malaya unajifanyaga mtetezi sana. Napata mashaka na washeli yako kama kweli bado itakuwa sealed!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Nut zishalegea
 
Back
Top Bottom