RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Mkuu wengi mnaongelea Mwanamke lakini hamumjui kiundani.Acha kuwa inferior kwa kiumbe ambacho kilitokana na ubavu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wengi mnaongelea Mwanamke lakini hamumjui kiundani.Acha kuwa inferior kwa kiumbe ambacho kilitokana na ubavu wako
Hahahahaa kuishi nao kwa akili mfano Aweza kuwa kalala tena anakoroma kumbe yupo macho anasikia na kuona yooote uyasemayo na kuyatenda!Tafadhali sana udhaifu unaosemwa ni UPI na kuishi nao kwa akili kivipi kwa mujibu was bibilia
Ila wanaume mapunga, wao tamaa hawana.Wanawake asilimia kubwa tamaa mbele
Ndomana sahv asilimia kubwa wanaliwa
Jichoo
Ova
Soma kwa jicho Sanaa (kioo cha jamii)Unataka Hadhira ipokee Ujumbe Gani ?
Huyo Mwanamke Unayemlenga asionewe huruma Kwenye nini?
Uwasilishaji Haujakaa Vizuri....!
HahaaahaaaaUkitoa Mama na ndugu zangu wa kike
Wengine wote Ni wazinguaji tu.
DuhSheria za mirathi zibadilishwe, urithi wote uwe wa watoto tu.
kabla ya yote kwanza tueleze ulichotendwa na hawa viumbe kisha tuanze kutiririka sio bure lazima kuna kituUSIMUONEE HURUMA MWANAMKE.
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.
Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.
Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.
Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.
Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.
Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.
Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.
Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.
Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.
Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.
Sina la ziada. Mwaka mpya mwema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
Hizo za kiundani ziseme tuzifahamuMkuu wengi mnaongelea Mwanamke lakini hamumjui kiundani.
Mkuu huko juu kuna sifa nimeziandika ukizifahamu hizo umemjua mwanamkeHizo za kiundani ziseme tuzifahamu
Hizo ni kwa mujibu wa mwanamke/ wanawake uliokutana nao au kusimuliwa wewe, je ambao haujakutana nao?Mkuu huko juu kuna sifa nimeziandika ukizifahamu hizo umemjua mwanamke
Taja udhaifu wa mwanaume Aya mmoja tuMnavyowananga wanawake utadhan nyie n perfect human being in each and every angle of you,,, hamkosei nyie [emoji2376] hamna madhaifu ?
Kwann wakiona kibanzi jichon mwa jiran au ndugu yako na hapo hapo huitoi boriti iliyoko jichon mwako ?
Acheni hizo bhn [emoji57]
Taja huo udhaifuIla pamoja na yoooote HAKUNA KIUMBE DHAIFU DUNIANI KAMA MWANAUME
Wasagaji bhna mpo vzurWanaume naturally ni viumbe dhaifu, tumependelewa tu uwezo wa kufikiria deep ila nafikiri ndo inatucost pia, maana yanapohitajika maamuzi ya haraka ni hatari kwa mwanaume.
Unadhani utazijua tabia zao kwa kuona kusikia au kukutana na mwanamke mmoja tu?Hizo ni kwa mujibu wa mwanamke/ wanawake uliokutana nao au kusimuliwa wewe, je ambao haujakutana nao?
Hata haya malalamiko kuhusu mwanamke ni UDHAIFU toshaTaja huo udhaifu
Matatzo yote dunian yamesababishwa na wanawake wa ovyo kuzalisha wanaume wa ovyo , ukiona mwanaume mdhaifu jua mama yake ndo chanzoHata haya malalamiko kuhusu mwanamke ni UDHAIFU tosha
Ukiona kizazi dhaifu juwa BABA NDIYE CHANZO.Matatzo yote dunian yamesababishwa na wanawake wa ovyo kuzalisha wanaume wa ovyo , ukiona mwanaume mdhaifu jua mama yake ndo chanzo
Mlezi wa watoto Ni mama kizazi kinachokuja Cha ma single mother tutakua na wanaume wa ovyo haijawah tokeaUkiona kizazi dhaifu juwa BABA NDIYE CHANZO.
BABA NDIO ANAEZAA NA MAMA HUJIFUNGUA TUÙ