Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.

Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.

Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.

Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.

Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.

Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.

Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.

Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.

Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.

Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.

Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.

Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.

Sina la ziada. Mwaka mpya mwema

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
kabla ya yote kwanza tueleze ulichotendwa na hawa viumbe kisha tuanze kutiririka sio bure lazima kuna kitu
 
Mnavyowananga wanawake utadhan nyie n perfect human being in each and every angle of you,,, hamkosei nyie [emoji2376] hamna madhaifu ?
Kwann wakiona kibanzi jichon mwa jiran au ndugu yako na hapo hapo huitoi boriti iliyoko jichon mwako ?
Acheni hizo bhn [emoji57]
Taja udhaifu wa mwanaume Aya mmoja tu
 
Wanaume naturally ni viumbe dhaifu, tumependelewa tu uwezo wa kufikiria deep ila nafikiri ndo inatucost pia, maana yanapohitajika maamuzi ya haraka ni hatari kwa mwanaume.
Wasagaji bhna mpo vzur
 
Matatzo yote dunian yamesababishwa na wanawake wa ovyo kuzalisha wanaume wa ovyo , ukiona mwanaume mdhaifu jua mama yake ndo chanzo
Ukiona kizazi dhaifu juwa BABA NDIYE CHANZO.
BABA NDIO ANAEZAA NA MAMA HUJIFUNGUA TUÙ
 
Back
Top Bottom