RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
NDO MUWACHE KUWA JAZA MAMIMBA NA KUTELEKEZA WATOTO!Mlezi wa watoto Ni mama kizazi kinachokuja Cha ma single mother tutakua na wanaume wa ovyo haijawah tokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDO MUWACHE KUWA JAZA MAMIMBA NA KUTELEKEZA WATOTO!Mlezi wa watoto Ni mama kizazi kinachokuja Cha ma single mother tutakua na wanaume wa ovyo haijawah tokea
Mnajazwa mimba kwa tamaa zenu anaetakiwa kujua Sasa Ni siku hatari Ni Nan , akili zenu ndogo znawaponzaNDO MUWACHE KUWA JAZA MAMIMBA NA KUTELEKEZA WATOTO!
Akili ndogo za nani mkuu mi si mwanamkeMnajazwa mimba kwa tamaa zenu anaetakiwa kujua Sasa Ni siku hatari Ni Nan , akili zenu ndogo znawaponza
Don't panic haya ni majadiliano mkuuMnajazwa mimba kwa tamaa zenu anaetakiwa kujua Sasa Ni siku hatari Ni Nan , akili zenu ndogo znawaponza
UMEANDIKA KWA KUPANICMnajazwa mimba kwa tamaa zenu anaetakiwa kujua Sasa Ni siku hatari Ni Nan , akili zenu ndogo znawaponza
Excuse Ila wanawake wenye akili Ni wachache Sana Tz tuna kizazi Cha ovyo sna apo badaeAkili ndogo za nani mkuu mi si mwanamke
Kama amerithi Genes za uzaifu kutoka kwa baba yake?Matatzo yote dunian yamesababishwa na wanawake wa ovyo kuzalisha wanaume wa ovyo , ukiona mwanaume mdhaifu jua mama yake ndo chanzo
Imenigusa SANA[emoji1485] As a man pambana mwenyewe katika kila situation, usitegemee msaada kutoka kwa yoyote labda msaada ujitokeze wenyewe
[emoji1485]Do no favor to anyone
[emoji1485]Kuwa wa mwisho katika maamuzi yanayokuhusu
[emoji1485]Kuwa tayari kumpoteza mwanamke yoyote
[emoji1485]Usilaumu chochote kinachokutokea, funga mkanda songa mbele
Naomba kwa leo niishie hapa
Lazima upanic mkuu wanawake wapumbavu Ni wengi sna ww unafkir watashindwa kukuaribia watoto wako wa kike apo badaeUMEANDIKA KWA KUPANIC
Wasilaumiwe wanawake tu je wewe mwanaume mwenye akili unashindwa nini kumfanya mwanamke akawa na akili?Excuse Ila wanawake wenye akili Ni wachache Sana Tz tuna kizazi Cha ovyo sna apo badae
Hakuna Gene za udhaifu Ni malezi mabovu kutoka kwa mama yake , mtu anajua shoga amerithi kwa nanKama amerithi Genes za uzaifu kutoka kwa baba yake?
Mkuu Mwanamke anaweza kuwa unavyotaka wewe awe. Tatizo wanaume wengi hujisahau na kwa udhaifu huo unamfanya mwanamke atawale kila kitu cha mwanamme kuanzia ubongoni hadi kuchaniLazima upanic mkuu wanawake wapumbavu Ni wengi sna ww unafkir watashindwa kukuaribia watoto wako wa kike apo badae
Anayekwambia mtoto analelewa na mzazi mmoja pekee yake ni nani? Malezi ya mtoto ni ya wote baba na mama kuna mambo anajifunza kutoka kwa baba na mengine kutoka kwa mama na hata, namna wazazi mnavyoishi mnachagia kuinduce hayo maisha kwenye akili za watoto wenuHakuna Gene za udhaifu Ni malezi mabovu kutoka kwa mama yake , mtu anajua shoga amerithi kwa nan
Binadam wto akili na ustaarabu wote anaetufundisha Ni mama , fuatilia mkuu kwanzia miaka ya 70 wanawake walipo Anza harakati za haki sawa ndipo kizazi kikaozaWasilaumiwe wanawake tu je wewe mwanaume mwenye akili unashindwa nini kumfanya mwanamke akawa na akili?
Hii kitu Ni mbaya sna mwanaume wa ovyo Ni yule anampa mwanamke haki sawa na yeyeMkuu Mwanamke anaweza kuwa unavyotaka wewe awe. Tatizo wanaume wengi hujisahau na kwa udhaifu huo unamfanya mwanamke atawale kila kitu cha mwanamme kuanzia ubongoni hadi kuchani
Kabisa mkuu kizazi lazma kiwe na wanaume wa ovyo kutokana na haki sawa na usingle mother chanzo Ni mwanamke na wanaume wachache wa ovyo kukubali hi kitu.Anayekwambia mtoto analelewa na mzazi mmoja pekee yake ni nani? Malezi ya mtoto ni ya wote baba na mama kuna mambo anajifunza kutoka kwa baba na mengine kutoka kwa mama na hata, namna wazazi mnavyoishi mnachagia kuinduce hayo maisha kwenye akili za watoto wenu
Mimi binafsi misimamo katika maisha ya ndoa nimerithi kwa baba namna ya kuihudumia familia(majukumu ya baba) nilikuwa naona namna mzee anavyotoa pesa za kununua vitu namna anavyokula na zawadi akisafiri so on, na mambo mengine nimechukua uzoefu kutoka kwa mamaBinadam wto akili na ustaarabu wote anaetufundisha Ni mama , fuatilia mkuu kwanzia miaka ya 70 wanawake walipo Anza harakati za haki sawa ndipo kizazi kikaoza
Mkuu humpi,bali HUJINYAKULIA kutokana nakakitu kadogo kakiudhaifu atakacho kagundua unako. Usiombe ikikute utavaa soksi kichwani badala ya mguuniHii kitu Ni mbaya sna mwanaume wa ovyo Ni yule anampa mwanamke haki sawa na yeye
Haujakutana na mwanamke mpumbavu , ukikutana na wapumbavu utahudumia kila kitu lakin Cha moto utakiona . Tazama hili Jambo kwa upana utatengeneza familia Bora watakuja kuchangamana na kizazi Cha ovyo wataiga .Mimi binafsi misimamo katika maisha ya ndoa nimerithi kwa baba namna ya kuihudumia familia(majukumu ya baba) nilikuwa naona namna mzee anavyotoa pesa za kununua vitu namna anavyokula na zawadi akisafiri so on, na mambo mengine nimechukua uzoefu kutoka kwa mama
Haumpi wap , ww upo nchi gan mkuu , tushakubali mda bila kujielewa tushapotea mbona ,Hadi ulinzi wa nyumba tumetoa mkuu , uzungu katikati ya jamii ya mtu mweusi Ni wakupingwa vikal .Mkuu humpi,bali HUJINYAKULIA kutokana nakakitu kadogo kakiudhaifu atakacho kagundua unako. Usiombe ikikute utavaa soksi kichwani badala ya mguuni