Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Itoshe kusema wanawake wana mambo ya ajabu sana, kila mtu asimuamini mwanamke kwa nafasi yake, hata mama haaminiwi ba baba.
 
Bila shaka umeangalia zile video za kujichomeka machupa ya vinywaji kwenye mbunye zao! Imenifanya niwadharau sana hawa wenzetu, hawana akili kabisa
Hii kitu haina thamani siku hizi ipo wazi Sana.
Imekua cheap Sana hata kwa buku 2 uanapata Buguruni, tandika,mwananyamala.
 
Ndio maana kile kitabu mimi nimeacha kukiamini kabisa!? Siwezi kusoma huku naambiwa hivi halafu mbeleni kinakuja kujikengeusha chenyewe.
Udhaifu unaozungumziwa hapa Ni kuwa mwanamke si mtu wa kufikiri kwa kina.

Ikiwa Biblia imesema tuishi nao kwa akili, maana yake wana matatizo katika akili zao, hiyo haijipingi.
 
👉🏾 As a man pambana mwenyewe katika kila situation, usitegemee msaada kutoka kwa yoyote labda msaada ujitokeze wenyewe

👉🏾Do no favor to anyone

👉🏾Kuwa wa mwisho katika maamuzi yanayokuhusu

👉🏾Kuwa tayari kumpoteza mwanamke yoyote
👉🏾Usilaumu chochote kinachokutokea, funga mkanda songa mbele

Naomba kwa leo niishie hapa
Siku zote nimekuwa nikiishi kwa kufuata kanuni hizi ulizoorodhesha

Sasa wewe ndo umenithibitishia kwamba nipo sahihi kwa asilimia zote
 
USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.

Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.

Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.

Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.

Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.

Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.

Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.

Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.

Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.

Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.

Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.

Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.

Sina la ziada. Mwaka mpya mwema

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
Kweli wewe Taikuni wa Fasihi
 
Babe naomba msamaha i swear sitorudia Akatoa machozi nusu ndoo ya liter 10 Nikaona isiwe shida acha nimsamehem

Karibu ndani mama,pita bafuni ujioshe uwe msafi Usiku ule alikua nusu ya malaika nakwambia..

Bed time ikafika nikapewa vile vitu moto moto vitu toka Bara la JUPITER nikalala usingizi mzito sana sijapata ona.

Asubuhi kuamka Nakuta nimelala juu ya kitanda tu sioni Tv,sioni Set nzima ya mziki ni kweupeee..

nikahisi labda madam ako anafanya General cleaning so vitu kapeleka kwa sebule..

Basi amka anza papasa nipate ile MOTOROLA angu papasa bed nzima Empty...

Bado akili inaniambia Madam ako nnje anafagia bana simu ako kakuekea charge tu sebleni...

Basi amka jikongoje ingia toilet kwanza sioni hata ndoo kweli nikajua madam angu ako na General Cleaning leo...

Ile naenda seblen sukuma mlango nakuta ile sebule ime turn to exercise area kumekua kweupeee sioni Fan,Sion zulia,sioni pazia,sioni meza,sioni alot of things Ni kama tuko na task ya kuhama...

Wenge ilikata nikarudi chumbani angalia upya ndipo nilipogundua kumbe hadi zile viatu zangu madam kapita nazo...

From zat dey i respect these madam but niko naishi nazo kwa akili yangu 99.9 hata akinipea utamu Mwisho ni kimoja tuuuu

unataka nikupge vitano nilale ili unikombeleze kama Former madam no thank youuu..

These nigggas need no mercy they only deserve RESPECT not Mercy.
 
Kuna demu mmoja alikuwa analia& kujitia vihuruma kwangu kuwa hana hela ya Krismas,alisema atapika zake wali maharage siku ipite.Sikutuma hela nikamuahidi kumpelekea zawadi kesho geto kwake,siku ya boxing day jion nikafunga safari kumpelekea zawadi zake,nilijiongeza kidogo nikanunua zawadi neutral,anaweza kuzitumia hata mwanaume.Nikiwa njiani nlimtumia sms kuwa naenda kwake,nilipofika kwake nilimpigia kama mara mbili lakini hakupokea,kwa kuwa tulikuwa tunaishi karibu niliamua kujongea zangu geto kwangu nikiwa nimemaindi,zile zawadi nikajizawadia.Baadaye demu akanipigia akilalamikia zawadi zake na kusema kwamba muda nilipopiga alikuwa saluni.Niliamua kupotezea nikamwambia afate zawadi zake kwangu,akasema boy friend wake kamkataza kwenda mageto ya watu usiku.Nikamdanganya nina laki mbili cash mkononi kwa ajili yake,alikuja mbio nikala mzigo afu zile zawadi nilizificha,niliendea pedi za buku dukani,nikampiga swaga alipomaindi akazikubali akasepa.
Hawa wanawake unatakiwa kucheza Kama Pele.Hata ajilize vipi unatakiwa kutumia akili[emoji108]

Inasimitisha sana.... nna imagine kama ni dada yangu[emoji21][emoji21]
Nliwah kumuambia dada yangu
Kamwe usiache kufanya kazi kwasababu ukiacha basi jua utatumika sana...akasema kaka nimekuelewa
Nkampa mtaji naona anaendelea vyema na biashara yake!
 
Back
Top Bottom