...Ni kweli tunatafsiri mambo tofauti. Na hapa hatutafika suluhu, wanawake tunapenda mambo ya kubembelezwa i agree, nani wakutumbembeleza kama sio nyie wanaume?!..au unataka tubembelezana wenyewe kwa wenyewe...????...
...labda mfano wangu wa pole, ulikuwa too way foward, na umewa annoy sababu nina deal na wanaume wanaoona kumuhurumia mwanamke is a sign of a wakness, ngoja nikupe scenario nyingine.....unasema wanaume hampendi kupewa encouraging words sababu nyinyi sio watu wa kuonewa huruma, na mimi nimekwambia hata nyinyi wanaume mnapaswa kuonewa huruma, kujaliwa , sababu kujaliwa makes our minds/heads in check...ngoja nikupe mfano mwingine ..unaenda msibani, Mume kafiwa na mkewe...hautampa pole??? sababu nyie wanaume huwa hampewi pole?!...au Wewe na Mkeo mnaumwa Cancer mko hospitalini, mtu anakuja anampa mkeo pole..halafu hakupi pole wewe mume...utamfikiriaje mtu wa hivyo...????...je ukiumwa wewe kama mwanaume ukipewa pole hupati relief ya aina yoyote..ile????
Ukimpa kitu mkeo, ni sign ya upendo i agree, lakini kwake yeye anaona amejaliwa, na kujaliwa ndio kuonewa huruma kwenyewe, bahati mbaya tunatafsiri hivyo... kwamba ukinipa khanga umenijali,umenionea huruma, wewe umetoa kama upendo, lakini receiver anaona umemjali, usingemjali usingenunulia khanga....Unanipenda,Unanijali,Unanionea huruma, can not be disintangled hio....it is what it is....