Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Mnhhhh yaani kuonewa huruma ni kuwa victim, wonders shall never end..

Mwanaume anaweza kupewa msaada akiuomba, atauombaje kama anajua hakuna atakayemuhurumia?? maana nyinyi mna insist hakuna kuoneana huruma...sasa kama ndani ya jamii hakuna kuoneana huruma hata huyu mwanaume atauombaje huo msaada...??? ...Na kwa hio mkeo, akinunulia labda kitu chochote unachokipenda amekudharau? sababu hujamuomba?..mnh....

Mnh inabidi mkuu uache ujuaji, jifunze vitu vingi simple around you sio lazima ukae darasani ujifunze formally, ukienda hospitali huwezi ukaenda tu ukapiga stori, pole is socially constructed, huendi kanisani na kusema pole kwa padri, ila ukienda hospitali kitu cha kwanza baada ya salamu ni pole, bisha ukatae , sawa tu..lakini pole/language ina serve some purpose in our lives..pole ni neno la faraja...na halihusiani na gender...ni pole kwanza ndio stori, na sio kwenda hospitali na kupiga stori kama uko bar na kusahau kuwa wale ni wagonjwa,..ukienda kupiga stori tu na kuondoka, bila kusema pole inamaanisha umeignore the fact kwamba wako kwenye maumivu.....pole ni sawa na kusema naelewa maumivu unayopitia.....

Sentensi ya Mwisho, sijaielewa, please kwa faida yangu na wanaofuatilia mjadala huu..fafanua...Je mwanaume haruhusiwi ku express emotions as this is a sign of a weakness? au nimekupata sivyo...
Unatumia nguvu nyingi sana mbona, what's going on behind the scenes??
 
Haya maneno mengi sana.🤣 Ndio mambo wanawake mnapenda. Nikienda hospital kumuona mwanaume pale ni stori za soka, urusi, siasa etc sio sura ya huzuni na kufariji. Mwanaume anaelewa kwamba ninamjali tukipiga hizo stori.

Hapo mwisho nimekuambia wanaume hatutaki hizo blah blah za maneno mengi na huzuni. Tupo tofauti na wanawake. Yaani wewe unatakiwa kujifunza kuzungumza lugha ya mwanaume Ili uwasiliane naye vizuri.

Mwanaume akiomba msaada anafanya hivyo kwa mtu ambaye wanafahamiana kwa karibu hivyo hapo sio swala la huruma bali ni urafiki.
 
Sio mwandishi mzuri ndio maana naandikaga maneno mengi,

Ujumbe umeupata mkuu, basi tu, unataka tuchoshane, 🙄 🙄, unataka kusema unaenda kupiga stori hospitali the same way unavyoenda kupiga stori za soka, siasa, bar?????....na unaingia hospitalini kama unavyoenda bar una shout kupiga kelele... Bwana Ronaldo jana kaifunga sijui nini magoli matatu...au unaingia tu hospitali baada ya salamu ni bwana Ronaldo jana kafunga goli tatu... kwa kelele?!....seriously najaribu kuwaelewa mnaomsapoti mtoa mada naona kama mko na deformity kichwani hivi,sikutusi ila hii scenario haiji, .... huwezi ku undermine Uzito wa neno pole Hospitalini...hujawahi kujiuliza kwa nini neno pole liko common hospitali na sio Bar?. kwanza hata sijui tunabishana nini, unaenda hospitali kumuona jamaa yako wa nini kama humuonei huruma???, si umuache tu ajifie mwenyewe...???!....au in this case uende hospitali kupiga stori za kina Ronaldo kisa tu kumpa mwanaume pole ni umemdharau??!,mnhh

Hapo mwisho, Nyinyi mnapromote kutosaidiana kabisa katika jamii eti sasa hivi mnaanza kusema kwa mtu wa karibu its OK, hamjitambui, tutawarudisha kwenye mstari....Urafiki haupo kama hakuna kujaliana/kuoneana huruma...na kuoneana huruma/kujaliana haishii kwa wanaume kwa wanaume peke yake.... bali hata kwa wanaume kwa wanawake...
 
Hapo hamna cha kushangaza, nikienda hospital kumuona mshikaji kalazwa kwanza naanza kumwambia tangu lini wanaume tulale kwenye public property?🤣 Then ofcourse kama ndio siku ya kwanza nitataka kujua kipi kimetokea, matibabu yanaendaje, etc then tunaendelea na mambo mengine.

Siendi hospital kwasababu ya huruma, naenda pale kwasababu ni wajibu wangu kumjulia hali mtu ambaye ni ndugu au rafiki.

Nawaonea huruma victims waliopatwa na hali wasiyoweza kujinasua.
 
USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.

Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.

Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.

Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.

Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.

Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.

Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.

Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.

Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.

Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.

Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.

Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.

Sina la ziada. Mwaka mpya mwema

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
Wazo bora kwa siku ya leo
Nashukuru sana kwa kuifanya siku ya leo iwe nzuri.
Wanawake wa leo ni zaidi ya shetani tusipokuwa makini watatumaliza tusiwaonee huruma kabisaaaa.
Wanaume tuandamane kwa hili na ikiwezekana tuwe na semina pamoja na jukwaa letu maalumu kukumbushana jinsi ya kujikinga na kuwa na roho mbaya dhidi ya adui yetu Mwanamke [emoji1548]
 
Hapo hamna cha kushangaza, nikienda hospital kumuona mshikaji kalazwa kwanza naanza kumwambia tangu lini wanaume tulale kwenye public property?🤣 Then ofcourse kama ndio siku ya kwanza nitataka kujua kipi kimetokea, matibabu yanaendaje, etc then tunaendelea na mambo mengine.

Siendi hospital kwasababu ya huruma, naenda pale kwasababu ni wajibu wangu kumjulia hali mtu ambaye ni ndugu au rafiki.

Nawaonea huruma victims waliopatwa na hali wasiyoweza kujinasua.

1....hahhah, eti public property, hahahah... kipi kimetokea..anakujibu..tulipata Ajali, upande wa basi chuma likaingia kwenye mbavu!, what will be your response?!...utauchuna tu...????.utaweka uso wa mbuzi na kuanza kupiga stori za Ronaldo?..Pole haikwepeki...unapoteza muda wako mkuu kujaribu kulifunika uzito wa hili neno...

2....haha ..wajibu/responsibility inakuja baada ya kumuonea mtu huruma,, kuna kitu wewe sio li robot lisilo na roho wala emotions, lazima ukisikia mtu amepata ajali, unakuwa sad, sababu unajua consequences za mtu kupata ajali,kuumwa, (kifo),. nii hii emotion ndio inakusukuma uone una wajibu wa kumtembelea huyo mtu hospitali. na kumfariji..sasa hii emotion(sadness) ndio inayotrigger huruma as a response....

3..Naendelea kuwasoma wakuu mliosapoti mtoa mada, ni watu cold sana, eti unaonea huruma victims waliopatwa na hali wasiyoweza kujinasua tu,...nani kakuambia huruma lazima iwe kwa worst scenarios like that, huruma zipo kila siku ni hata kwa mambo madogo...ni kama action/response mechanism .....

***********Im happy, tunatumia hii Platform kufunguana, naona mmeanza utamsaidia ndugu wa karibu,na utamuonea huruma mtu aliyepatwa na hali asiyoweza kujinasua, this shows ..we are getting slowly there..at least mmmeanza kufikiria kuna kuoneana huruma, sio huyo anayekuja na stori hakuna kumsaidia mtu....
 
Ulikuwa umelala mpaka chuma kikaingia? Hilo ndio swali ataulizwa na ataelewa kiume nini namaanisha. Wanaume tuna lugha zetu. Hizo za kulegeza sauti tumewaachia wanawake.

Hakuna mahali nimesema mwanaume hawezi kuona huruma ila tu ufahamu kwamba huruma ni kwa ajili ya victims (me au ke)

Hii mada nimeanza kukomenti leo hivyo usinihusishe na watu wa huko nyuma
 
1. Kusema pole ni lazima ulegeze sauti????, pole inatolewa sio kwa wanawake peke yake,bali na kwa wanaume hospitalini,...kama unaona kwako vigumu kutoa pole, hospitalini..kuna wanaume wenzio wanatoa..( i dont expect you kutoa pole, sababu kwako wewe kutoa pole, ni sign of weakness kwako ni dharau...badala ya kutoa pole utazuga zuga hapo na kujichekesha,kwa kuhofia watu wasikuone una huruma LOL,)..ila pole ni natural response..huwezi kulikwepa, ngoja nikupe scenario nyingine,...tuseme hujaenda hospitali, umekuwa unatembea tu barabarani tu..mara paap...mtu..mwanaume mwenzio kapata ajali anableed ila yuko aware kinachoendelea ,ukifika what will be your natural first response???? ...utaanza tena kupiga tena stori za Ronaldo kama uko Bar???

2.Number mbili nimeipenda hioooooooooooooooooooooooooooooooo.... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ✌️ ✌️ ✌️ ✌️ ✌️ kumbe kuna kuoneana huruma eeeee ?? tena kwa wote (Me and Ke), mwenzako anaona Ke tusionewe huruma..finally...tunakaribia kufunga mjadala huu..lol...

Victims, wako aina nyingi mkuu.. Wa ajali, Magonjwa, Crime,,, etc... victims sio lazima waliopata ajali tu wakawa viwete....ama kuwa na lasting damage ndio uwe na huruma, nimekwambia huruma ni natural response, ni kitu tunafanya daily,kinapokuwa triggered..rejea mfano wangu hapo juu, unadhania mpaka ujue yule mtu uliyemuona baada ya kupata ajali amekuwa kiwete ndio utamuonea huruma na sio utamuonea huruma hapo hapo kwenye scene aliyopata ajali?? na kama anahitaji msaada hautamuonea huruma na kumpa be it, first aid, ama kuita watu kwa msaada zaidi?

Umeanza ku comment leo kwenye mada hii MKuu,lakini umechagua precisely upande unaoutaka, iweje nisikufananishe na hao wengine? (wenye Upande uliouchagua).
 
Wapi nimesema kumpa mtu pole ni ishara ya udhaifu? Issue hapa ni kwamba wanaume tuna lugha zetu ambazo tunaelewana. Mtu akipata ajali anataka msaada wa kimatibabu sio kupiga kelele za pole. Lugha zetu nyie mnaziona cold kwasababu mnazo zakwenu soft.

Hoja ya mtoa mada ni kwamba wanawake tuwapende ila tusiwaonee huruma. Yaani kama ni mahusiano basis iwe love sio mercy.

Singo mazas ndio wanaongoza kwa kutaka kuonewa huruma. Akiwa rafiki anataka aonewe huruma yeye na watoto wake.
 
1....hahhah, eti public property, hahahah... kipi kimetokea..anakujibu..tulipata Ajali, upande wa basi chuma likaingia kwenye mbavu!, what will be your response?!...utauchuna tu...????.utaweka uso wa mbuzi na kuanza kupiga stori za Ronaldo?..Pole haikwepeki...unapoteza muda wako mkuu kujaribu kulifunika uzito wa hili neno...

2....haha ..wajibu/responsibility inakuja baada ya kumuonea mtu huruma,, kuna kitu wewe sio li robot lisilo na roho wala emotions, lazima ukisikia mtu amepata ajali, unakuwa sad, sababu unajua consequences za mtu kupata ajali,kuumwa, (kifo),. nii hii emotion ndio inakusukuma uone una wajibu wa kumtembelea huyo mtu hospitali. na kumfariji..sasa hii emotion(sadness) ndio inayotrigger huruma as a response....

3..Naendelea kuwasoma wakuu mliosapoti mtoa mada, ni watu cold sana, eti unaonea huruma victims waliopatwa na hali wasiyoweza kujinasua tu,...nani kakuambia huruma lazima iwe kwa worst scenarios like that, huruma zipo kila siku ni hata kwa mambo madogo...ni kama action/response mechanism .....

***********Im happy, tunatumia hii Platform kufunguana, naona mmeanza utamsaidia ndugu wa karibu,na utamuonea huruma mtu aliyepatwa na hali asiyoweza kujinasua, this shows ..we are getting slowly there..at least mmmeanza kufikiria kuna kuoneana huruma, sio huyo anayekuja na stori hakuna kumsaidia mtu....
Najua kuna kina Nabali hapa wanamuunga mkono mtoa mada mwenye chuki binafsi na wanawake. Biblia inasisitiza mwanaume kutumia akili zaidi ktk kuishi na mwanamke, hapo ndipo huwa ngumu maana wanaume wa sasa hawajui kutumia akili badala yake wamejaa hasira tu.

Yeyote anayeunga mkono kauli ya mtoa mada atakuwa na chuki binafsi kwa wanawake, tena atakuwa na upungufu mkubwa wa akili.
 
Wapi nimesema kumpa mtu pole ni ishara ya udhaifu? Issue hapa ni kwamba wanaume tuna lugha zetu ambazo tunaelewana. Mtu akipata ajali anataka msaada wa kimatibabu sio kupiga kelele za pole. Lugha zetu nyie mnaziona cold kwasababu mnazo zakwenu soft.

Hoja ya mtoa mada ni kwamba wanawake tuwapende ila tusiwaonee huruma. Yaani kama ni mahusiano basis iwe love sio mercy.

Singo mazas ndio wanaongoza kwa kutaka kuonewa huruma. Akiwa rafiki anataka aonewe huruma yeye na watoto wake.

1. Nakuzoom Mkuu,.LOL sijaelewa kwa nini ukwepe kutoa pole, kwa mwanaume mwenzio?? Uzunguke wee...kuleta stori za Ronaldo,badala ya kutoa Pole?..(eti kwa kufanya hivyo ni kuelewana na mwanaume mwenzio),....LOL..kama unataka nisiconclude kuwa unaona kutoa pole ni sign ni ishara ya udhaifu, niambie..Ugumu wa kutoa pole unautoa wapi??? Nahisis ume associate Pole na Gender, which is wrong...sababu pole sio ya wanawake peke yake... Leo hata mtoto wa Kiume ukimpa pole anajua inamaanisha nini..anakuwa comforted .halafu wanawake na wanaume lugha yetu ni hio hio moja, ndio maana nikisema Pole hapa, unanielewa vizuri namaanisha nini (Kujali),being considerate..n.k... huwezi ukaongea kitu tofauti/ inappropriate kwenye scene ya ajali mkuu, kwepa unavyotaka kukwepa neno Pole halikwepeki!,LOL... halafu unam comfort kwanza Muhanga, ndio unatafuta msaada wa kimatibabu, au unatafuta msaada then unamcomfort the victim...sasa wewe unataka kuonyesha kwamba ukifika utakachofanya ni kutafuta msaada wa kimatibabu peke yake,bila kum comfortt victim hata kama unajua yupo concious...halafu unataka nisiconclude wewe sio mtu COLD tu????

2, Unaweza kuoa mtu Unayempenda usimuonee huruma?..tusirudi huko please...hivi vitu havitengamani, huwezi kumpenda mtu,umuoe then usiwe na huruma na hisia zake.......and then you call it love?

3, Non sense,lol,
 
Najua kuna kina Nabali hapa wanamuunga mkono mtoa mada mwenye chuki binafsi na wanawake. Biblia inasisitiza mwanaume kutumia akili zaidi ktk kuishi na mwanamke, hapo ndipo huwa ngumu maana wanaume wa sasa hawajui kutumia akili badala yake wamejaa hasira tu.

Yeyote anayeunga mkono kauli ya mtoa mada atakuwa na chuki binafsi kwa wanawake, tena atakuwa na upungufu mkubwa wa akili.

Asante sana Mkuu, mbaya zaidi kuwa confused kwao wanataka kuwa confuse na wanaume wengine...
 
1. Nakuzoom Mkuu,.LOL sijaelewa kwa nini ukwepe kutoa pole, kwa mwanaume mwenzio?? Uzunguke wee...kuleta stori za Ronaldo,badala ya kutoa Pole?..(eti kwa kufanya hivyo ni kuelewana na mwanaume mwenzio),....LOL..kama unataka nisiconclude kuwa unaona kutoa pole ni sign ni ishara ya udhaifu, niambie..Ugumu wa kutoa pole unautoa wapi??? Nahisis ume associate Pole na Gender, which is wrong...sababu pole sio ya wanawake peke yake... Leo hata mtoto wa Kiume ukimpa pole anajua inamaanisha nini..anakuwa comforted .halafu wanawake na wanaume lugha yetu ni hio hio moja, ndio maana nikisema Pole hapa, unanielewa vizuri namaanisha nini (Kujali),being considerate..n.k... huwezi ukaongea kitu tofauti/ inappropriate kwenye scene ya ajali mkuu, kwepa unavyotaka kukwepa neno Pole halikwepeki!,LOL... halafu unam comfort kwanza Muhanga, ndio unatafuta msaada wa kimatibabu, au unatafuta msaada then unamcofort the victim...sasa wewe unataka kuonyesha kwamba ukifika utakachofanya ni kutafuta msaada wa kimatibabu peke yake,bila kum conmfort victim hata kama unajua yupo concious...halafu unataka nisiconclude wewe sio mtu COLD tu????

2, Unaweza kuoa mtu Unayempenda usimuonee huruma?..tusirudi huko please...hivi vitu havitengamani, huwezi kumpenda mtu,umuoe then usiwe na huruma na hisia zake.......and then you call it love?

3, Non sense,lol,
Mimi naomba niwe nimekamilisha mchango wangu hapa.

Amani iwe pamoja nawe.
 
Back
Top Bottom