1. Kusema pole ni lazima ulegeze sauti????, pole inatolewa sio kwa wanawake peke yake,bali na kwa wanaume hospitalini,...kama unaona kwako vigumu kutoa pole, hospitalini..kuna wanaume wenzio wanatoa..( i dont expect you kutoa pole, sababu kwako wewe kutoa pole, ni sign of weakness kwako ni dharau...badala ya kutoa pole utazuga zuga hapo na kujichekesha,kwa kuhofia watu wasikuone una huruma LOL,)..ila pole ni natural response..huwezi kulikwepa, ngoja nikupe scenario nyingine,...tuseme hujaenda hospitali, umekuwa unatembea tu barabarani tu..mara paap...mtu..mwanaume mwenzio kapata ajali anableed ila yuko aware kinachoendelea ,ukifika what will be your natural first response???? ...utaanza tena kupiga tena stori za Ronaldo kama uko Bar???
2.Number mbili nimeipenda hioooooooooooooooooooooooooooooooo.... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ✌️ ✌️ ✌️ ✌️ ✌️ kumbe kuna kuoneana huruma eeeee ?? tena kwa wote (Me and Ke), mwenzako anaona Ke tusionewe huruma..finally...tunakaribia kufunga mjadala huu..lol...
Victims, wako aina nyingi mkuu.. Wa ajali, Magonjwa, Crime,,, etc... victims sio lazima waliopata ajali tu wakawa viwete....ama kuwa na lasting damage ndio uwe na huruma, nimekwambia huruma ni natural response, ni kitu tunafanya daily,kinapokuwa triggered..rejea mfano wangu hapo juu, unadhania mpaka ujue yule mtu uliyemuona baada ya kupata ajali amekuwa kiwete ndio utamuonea huruma na sio utamuonea huruma hapo hapo kwenye scene aliyopata ajali?? na kama anahitaji msaada hautamuonea huruma na kumpa be it, first aid, ama kuita watu kwa msaada zaidi?
Umeanza ku comment leo kwenye mada hii MKuu,lakini umechagua precisely upande unaoutaka, iweje nisikufananishe na hao wengine? (wenye Upande uliouchagua).