Mimi naomba niwe nimekamilisha mchango wangu hapa.
Amani iwe pamoja nawe.
CONCLUSION;
Wote mliomsapoti mtoa mada ani watu COLD..
.Ni watu wa kuhide hamu express emotions zenu openly, ama mnatoa/express Inappropriate emotions,sehemu ya kulia mtacheka..au sehemu ya kucheka mtajifanya kinafiki mna huzuni, sehemu ya kuexpress hasira mtajifanya kila kitu kiko OK… not very GENUINE people…
Mna issue na MAMA zenu, mnaweza msiwe na matatizo openly, lakini issue ziko ndani ya minds/ brains zenu……..mnachukia mama zenu, subconsciously
Ni watu either hamna uzoefu na wanawake ama uzoefu wenu mdogo na wanawake umewaacha disappointed hivyo mmedevelop even more hostility towards women……..
I predict relationship zenu, (kama mlishawahi kuwa nazo),zote ni mifarakano/mitifuano ilikuwa kila siku…siku za mifarakano zina outnumber siku za Peace, hakuna mwanamke atakayekua na amani na mwanaume asiyemuonea huruma/kumjali…na sisi tukihisi tunakua ignored hatupigani,( well wapowanaopigana),..tunanuna na kususa, huelewi mkeo kanun ana kususa kwa nini, unam confront, mnagombana tu kila siku…
ni wadogo ..immatured..sidhani kama nimebishana na watu wanaosapoti mada hii ambao wako over 30!, .. wachache sana wamevuka miaka 30…
Baba zenu au wanaume waliochukua father’s role katika Maisha yenu nao walikua hivyo hivyo!.walikua wana supress emotions..ndio wamewajengea Mazingira ya ‘ Mwanaume halii’…sababu hata wao ndio walikuwa made to believe that!… these things are passed from generation to generation…Ngumu sana kwa mzazi aliyekulia katika mazingira ya kusupress emotions kumuona mwanae wa kiume akilia, asimwambie Nyamaza!, wanaume hawalii….
I can predict trouble in your future relationships/marriages!
SOLUTION;
Ni ku make Peace na Mama zenu kwenye Minds zenu!,,, List down…vitu/sacrifices zote ambazo Mama yako amekufanyia, kuanzia kukubeba mimba, kukunyonyesha, kukutawadha, kukupikia, kukufulia..etc utaanza kumuona mama yako Differenly…utaapreciate mchango wake katika Maisha yako, ukianza kufanya hivyo utaona wanawake ni viumbe na sio Mazimwi, ni binadamu wenye hisia, na wanaopaswa kujaliwa..kuonewa huruma. TCHAO!