Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Nimekutarget wewe kwasababu unapenda majibizano Tena upendi kushindwa hii kitu sio kizuri kiafya hasa kwa mwanamke unatakiwa uwe na staha na mtiifu kwa mwanaume badilika bidada nakushauri kwa nia njema kama rafiki tofauti utakuwa ngumu Sana kuolewa au kudumu na mwanaume kama itaendelea na hii tabia
Hata wewe unapenda mabishano na ndio maana uko hapa, na kule kwenye topic nyingine...kisha jifunze vitu,sio lazima mtu anayependa majibizano ni mtu asiye na staha, na asiyefaa kwa ndoa, wengine wanapenda tu stimulating/challenging conversations ni nzuri kwa afya ya akili..as una jifunza mambo mengi/different perspectives...una jifunza, why things are.the way they are.. kwa heri, usinijibu please...sitaki upuuzi...leo
 
Nimesema wanawake wengi, nimemtaja mke wangu hapo? Still naishi naye kwa akili.
Pole we!, eti unaishi nae kwa akili???? halafu unasema ndoa yako ni pure bliss...hahaa..'kukaa nae kwa akili' ndio inaonyesha jinsi ulivyo insecured kwenye ndoa yako na jinsi ndoa yenu ilivyo vulnerable.....nani alikwambia wanaochukia wanawake wana ndoa happy?! thubutuuuuuuuu....never!,
 
Sina chuki na wanawake, naishi nao kwa akili. Yupo hapa katulia kwasababu kila siku niko ahead of her maana natumia akili.
hahhah ukisema huna chuki na wanawake sikuelewi, asiye na chuki na wanawake hataona wanawake ni wabinafsi, the fact unaona wanawake ni wabinafsi tayari hapo ni tatizo!,.... again mara ya tatu unasema 'unatumia akili' ku handle ndoa yako, akili gani?? hio ya kutomjali...kutomuonea huruma, au?? fafanua..
 
Pole we!, eti unaishi nae kwa akili???? halafu unasema ndoa yako ni pure bliss...hahaa..'kukaa nae kwa akili' ndio inaonyesha jinsi ulivyo insecured kwenye ndoa yako na jinsi ndoa yenu ilivyo vulnerable.....nani alikwambia wanaochukia wanawake wana ndoa happy?! thubutuuuuuuuu....never!,
Agizo katika neno la Mungu ni kwamba tuishi nanyi kwa akili maana anytime mnaweza kuwa derailed kwasababu mnaenenda kwa hisia. Hivyo wakati wote lazima niwe on guard kuhakikisha emotions zake hazisababishi madhara kwa familia.
 
hahhah ukisema huna chuki na wanawake sikuelewi, asiye na chuki na wanawake hataona wanawake ni wabinafsi, the fact unaona wanawake ni wabinafsi tayari hapo ni tatizo!,.... again mara ya tatu unasema 'unatumia akili' ku handle ndoa yako, akili gani?? hio ya kutomjali...kutomuonea huruma, au?? fafanua..
Soma post#565
 
Agizo katika neno la Mungu ni kwamba tuishi nanyi kwa akili maana anytime mnaweza kuwa derailed kwasababu mnaenenda kwa hisia. Hivyo wakati wote lazima niwe on guard kuhakikisha emotions zake hazisababishi madhara kwa familia.
Mnhhh acha ku interpret maandiko, to suit your purposes, unatumia akili ku deal na sisi kwa sababu tunapitia different emotions/stages, periods,mimba, challenges za kulea etc hivyo kuepuka mifarakano ndio unatumia akili, sio unatumia akili sababu wanawake ni wabinfasi..Pumba!
 
Eva alikuwa na mimba hadi akaanza stori na shetani?

Halafu ni kwanini lazima utumie vineno vya kukera? Mwanamke anaheshimika kwa lugha tamu.
 
Soma post#565
Soma post yako ya no 561, unaishi nae kwa akili, topic ya mtoa mada inahusu wanawake ni wabinafsi..halafu unasema 'still naishi nae kwa akili'' it means unajua wanawake ni wabinafsi hivyo unaishi kwae akili...then unataka nisi conclude umemaanisha wanawake ni wabinafsi hivyo ishi nao kwa akili, unakuja na upuuzi wa kutumia maandiko ku justify upuuzi...
 
Lugha za kukera, wewe hutumiii?? kuniita feminist, single mother..n.k

Eva, hakua na mimba, je una uhakika hakua anaenda period???

Je na sisi tuko kama Eva, hatuzai? hatulei?
 
Una lugha isiyofanya uheshimike kama mwanamke ndio maana vijana wanakupa makavu kwamba sio wife material.
 
Lugha za kukera, wewe hutumiii?? kuniita feminist, single mother..n.k

Eva, hakua na mimba, je una uhakika hakua anaenda period???

Je na sisi tuko kama Eva, hatuzai? hatulei?
Single mother na feminist ni status ambayo ni real. Namna unavyojibu inaonesha kuna mwanaume kakupiga tukio hivyo una chuki na wanaume.
 
mnhhhh, eti ni status ziko real,you know exactly ni lugha ya kukera...usinichoshe...!.unajua kabisaa zilivyotumika kwenye context ya mada hii.... chuki mtaniona ninayo nyie wanaume mliokuwa twisted...na wala sijali.
 
Back
Top Bottom