Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Nimesema wanawake wengi, nimemtaja mke wangu hapo? Still naishi naye kwa akili.Mkeo ni thankless na mbinafsi??? uko nae wa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema wanawake wengi, nimemtaja mke wangu hapo? Still naishi naye kwa akili.Mkeo ni thankless na mbinafsi??? uko nae wa nini?
Hata wewe unapenda mabishano na ndio maana uko hapa, na kule kwenye topic nyingine...kisha jifunze vitu,sio lazima mtu anayependa majibizano ni mtu asiye na staha, na asiyefaa kwa ndoa, wengine wanapenda tu stimulating/challenging conversations ni nzuri kwa afya ya akili..as una jifunza mambo mengi/different perspectives...una jifunza, why things are.the way they are.. kwa heri, usinijibu please...sitaki upuuzi...leoNimekutarget wewe kwasababu unapenda majibizano Tena upendi kushindwa hii kitu sio kizuri kiafya hasa kwa mwanamke unatakiwa uwe na staha na mtiifu kwa mwanaume badilika bidada nakushauri kwa nia njema kama rafiki tofauti utakuwa ngumu Sana kuolewa au kudumu na mwanaume kama itaendelea na hii tabia
Pole we!, eti unaishi nae kwa akili???? halafu unasema ndoa yako ni pure bliss...hahaa..'kukaa nae kwa akili' ndio inaonyesha jinsi ulivyo insecured kwenye ndoa yako na jinsi ndoa yenu ilivyo vulnerable.....nani alikwambia wanaochukia wanawake wana ndoa happy?! thubutuuuuuuuu....never!,Nimesema wanawake wengi, nimemtaja mke wangu hapo? Still naishi naye kwa akili.
hahhah ukisema huna chuki na wanawake sikuelewi, asiye na chuki na wanawake hataona wanawake ni wabinafsi, the fact unaona wanawake ni wabinafsi tayari hapo ni tatizo!,.... again mara ya tatu unasema 'unatumia akili' ku handle ndoa yako, akili gani?? hio ya kutomjali...kutomuonea huruma, au?? fafanua..Sina chuki na wanawake, naishi nao kwa akili. Yupo hapa katulia kwasababu kila siku niko ahead of her maana natumia akili.
Agizo katika neno la Mungu ni kwamba tuishi nanyi kwa akili maana anytime mnaweza kuwa derailed kwasababu mnaenenda kwa hisia. Hivyo wakati wote lazima niwe on guard kuhakikisha emotions zake hazisababishi madhara kwa familia.Pole we!, eti unaishi nae kwa akili???? halafu unasema ndoa yako ni pure bliss...hahaa..'kukaa nae kwa akili' ndio inaonyesha jinsi ulivyo insecured kwenye ndoa yako na jinsi ndoa yenu ilivyo vulnerable.....nani alikwambia wanaochukia wanawake wana ndoa happy?! thubutuuuuuuuu....never!,
Soma post#565hahhah ukisema huna chuki na wanawake sikuelewi, asiye na chuki na wanawake hataona wanawake ni wabinafsi, the fact unaona wanawake ni wabinafsi tayari hapo ni tatizo!,.... again mara ya tatu unasema 'unatumia akili' ku handle ndoa yako, akili gani?? hio ya kutomjali...kutomuonea huruma, au?? fafanua..
Mnhhh acha ku interpret maandiko, to suit your purposes, unatumia akili ku deal na sisi kwa sababu tunapitia different emotions/stages, periods,mimba, challenges za kulea etc hivyo kuepuka mifarakano ndio unatumia akili, sio unatumia akili sababu wanawake ni wabinfasi..Pumba!Agizo katika neno la Mungu ni kwamba tuishi nanyi kwa akili maana anytime mnaweza kuwa derailed kwasababu mnaenenda kwa hisia. Hivyo wakati wote lazima niwe on guard kuhakikisha emotions zake hazisababishi madhara kwa familia.
Chukua time, hunijui sikujui, itabaki kuwa hivyo...Wanawake Kama rebeka ni chapa ilale ....yaani kojolea sepa ...ukioa hii mutu hakuna kelele utaacha kuisikia ndani ya nyumba ulio Jenga kwa jasho lako.
Hutaki oa
Eva alikuwa na mimba hadi akaanza stori na shetani?Mnhhh acha ku interpret maandiko, to suit your purposes, unatumia akili ku deal na sisi kwa sababu tunapitia different emotions/stages, periods,mimba, challenges za kulea etc hivyo kuepuka mifarakano ndio unatumia akili, sio unatumia akili sababu wanawake ni wabinfasi..Pumba!
Soma post yako ya no 561, unaishi nae kwa akili, topic ya mtoa mada inahusu wanawake ni wabinafsi..halafu unasema 'still naishi nae kwa akili'' it means unajua wanawake ni wabinafsi hivyo unaishi kwae akili...then unataka nisi conclude umemaanisha wanawake ni wabinafsi hivyo ishi nao kwa akili, unakuja na upuuzi wa kutumia maandiko ku justify upuuzi...Soma post#565
Lugha za kukera, wewe hutumiii?? kuniita feminist, single mother..n.kEva alikuwa na mimba hadi akaanza stori na shetani?
Halafu ni kwanini lazima utumie vineno vya kukera? Mwanamke anaheshimika kwa lugha tamu.
Una lugha isiyofanya uheshimike kama mwanamke ndio maana vijana wanakupa makavu kwamba sio wife material.Soma post yako ya no 561, unaishi nae kwa akili, topic ya mtoa mada inahusu wanawake ni wabinafsi..halafu unasema 'still naishi nae kwa akili'' it means unajua wanawake ni wabinafsi hivyo unaishi kwae akili...then unataka nisi conclude umemaanisha wanawake ni wabinafsi hivyo ishi nao kwa akili, unakuja na upuuzi wa kutumia maandiko ku justify upuuzi...
Sio wife Material sio thread hii, naona umekosa cha kuandika sasa....kwanza nyie mnaochukia wanawake hata sio husband material pia....Una lugha isiyofanya uheshimike kama mwanamke ndio maana vijana wanakupa makavu kwamba sio wife material.
Single mother na feminist ni status ambayo ni real. Namna unavyojibu inaonesha kuna mwanaume kakupiga tukio hivyo una chuki na wanaume.Lugha za kukera, wewe hutumiii?? kuniita feminist, single mother..n.k
Eva, hakua na mimba, je una uhakika hakua anaenda period???
Je na sisi tuko kama Eva, hatuzai? hatulei?
Unapenda arguments madam. Lazima umeumizwa sehemu.Sio wife Material sio thread hii, naona umekosa cha kuandika sasa....kwanza nyie mnaochukia wanawake hata sio husband material pia....
mnhhhh, eti ni status ziko real,you know exactly ni lugha ya kukera...usinichoshe...!.unajua kabisaa zilivyotumika kwenye context ya mada hii.... chuki mtaniona ninayo nyie wanaume mliokuwa twisted...na wala sijali.Single mother na feminist ni status ambayo ni real. Namna unavyojibu inaonesha kuna mwanaume kakupiga tukio hivyo una chuki na wanaume.
Silly, kuumizwa ni part of life hio moja, mbili kupenda arguments haimaanishi umeumizwa..Unapenda arguments madam. Lazima umeumizwa sehemu.
Jamani pole.. utapona tu usijali.Silly, kuumizwa ni part of life hio moja, mbili kupenda arguments haimaanishi umeumizwa..
Dada, kuumizwa wewe hujawahi kuumizwa kabla hujakutana na huyo mumeo...????Jamani pole.. utapona tu usijali.