Hahahahaha eti huna sababu ya kuongea lugha ya kukera au dharau, soma michango yako kwa makini uone unafiki wako!..
Hata mimi nadhani una matatizo makubwa kuliko nilivyodhani, nilijua ni uko confused tu kuona wanawake ni wabinafsi, kumbe na unafiki pia unao!..ndoa yako trouble , trouble , trouble ,hakuna mwanamke makini atakayekaa na mwanaume mnafiki, ama anayeona wanawake ni wabinafsi..no, never!..yes una matatizo mengi sana kwenye real life...
Usiniambie kuhusu kuniwish mimi the best, sipendi unafiki mimi, na kama unatoka kwenye mjadala huu toka tu ila dont intimidate me, hakuna mtu wa kuni bully my mind.